Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

Time for everything... Ccm, Chadema, n.k. zote zitakufa tu siku moja.
 
Aliyewahi kuvuma akifa hasahauliki

Mitume, mandela,.nyerere, washington n.k

The fact that they talk about you is just because they once adored you dearly
Kwa hiyo mnaogoapa mauti na kutumia nguvu zote polisi na siraha, usalama wa taifa ili kuzuia nguvu za mauti?
 
na mdiyo mnakoelekea maana hata mrema ana historia ya kusimulia alishiriki kugombea urais mapaka akawa anasukumwa nagari yake sasa huyu dj mbowe sasa hata kugombea anaogopa maana hana ushawishi na watu kumpa kura za urais
 
Aiseee..hata ikifa kwani kuna hasara gani.cuf ilikufa ikazuka nccr nccr nayo ikaguma ukaibuliwa chadema sasa cdm nayo ikigika ukomo act nayo itakimbiza na hapo mbeleni bado kuna vyama vipya vitasajiliwa tuu
 
Maiti zinaabudiwa pia,.ndio maana Osama alizikwa baharini,
Matumaini ni kitu cha muhimu katika maisha ya mwanadamu. Ni mwanzo wa nuru mpya katika zama mpya.
Humfanya mwenye kukata tamaa kuanza kuvuta hisia ya pepo na fahari nyingine mpya. Hii ndiyo sifa kubwa ya
matumaini waliyo nayo Watanzania kwenye Chadema
 
na mdiyo mnakoelekea maana hata mrema ana historia ya kusimulia alishiriki kugombea urais mapaka akawa anasukumwa nagari yake sasa huyu dj mbowe sasa hata kugombea anaogopa maana hana ushawishi na watu kumpa kura za urais

Mrema alikaa Uenyekiti miaka 5 kaua NCCR

Mbowe yupo Uenyekiti 20+ na bado chama ni strong!

What the fvck are you smoking?
 
Tafakuri nzuri iliyojaa hekima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshauri kwanza magufuli ajiuzulu kwa kushindwa kudhibiti mauaji,utekaji, kuua demokrasia,kuwatesa watu,kuwabambikizia kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha pasipo sababu bali kwa masilahi yake mwenyewe na genge lake la uhalifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…