Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

Endelea kujifunza tu siasa ya mataifa mbali mbali, kwa kuwa Tanzania ni adventure kwako na wengine mlio na ka expossure!

Naamini kwa dhati kabisa hata haya uloandika si imani yako! Inakuwa vipi hujui kwamba ustawi wa siasa kwenye taifa lolote hutokea tu pale chama kilichosikilia dola kikifanya siasa za kistaarabu?

Kwamba mafanikio ya kuoneshesha upinzani upo imara ni transition ya power of whom wenyi ni mapandikizi wa kutokomeza upinzani? Kwani Magufuli angeruhusu siasa za usawa CCM ingeshinda nafasi yotote ya juu ya uongozi wa nchi?

Pamoja na hujuma zote ila wapo watu wengi hawajavunjika moyo bado na wakasimama kidete tu kupinga udhalimu. Mafanikio ya CCM ni kutokomeza wenye mawazo mbadala na kutawala wasiojielewa tu!

Msitupangie bado hatujastaarabika kama unaodhani walistaarabika
 

Suppose Mashinji ndio angekuwa mwenyekiti wa Chadema. Sijui hali ya upinzani ingekuwaje
 

Duh, hili ni mojawapo ya makosa makubwa. Labda umesahau maana ya utamu wa madaraka. Ni nchi gani ambapo chama kilichotawala muda mrefu kinafanya siasa za "kiistarabu" ili hatimaye chama cha upinzani kije kuingia madarakani? Labda una mfano mmoja wa aina hiyo?
 
Hivi bongo inakupasa kiongozi wa upinzani kujizulu kwa matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa, Ubunge wa majimbo ya wanaunga mkono juhudi?.

Kote ulikotaja kuna tume huru za chaguzi, mifumo yenye uwazi katika upigaji kura. Ni kichekesho kama kiongozi ataamua kijiuzulu kisa kashindwa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..ulitaka Cecil Mwambe apite bila kupingwa?

..halafu atelekeze chama na kuhamia CCM?
Tatizo, miaka yote ya chama inamaana hakuna mbadala wa mbowe?
Kutokuwa na wigo mpana wa kiuongozi ni Tatizo kwa chama, Mbowe amefikia mwisho wake, alifaa chama kwa wakati wake, kwa sasa angeingia mtu mbadala aliye andaliwa na chama, kuliko Haya yanayo endelea kutokea.
 

Mstari wa mwisho umebeba maana. Nimeanza kufikiri watu wanaotaka Mbowe aendelee kuingoza CHADEMA kwenye kushindwa wananufaika na hali hiyo... inawezekana ndio CCM wenyewe hawa...
 
Umerogwa,kama umeshindwa kumuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yes, tena Yes ya asilimia 100; ilimradi tu kuwa CCM ingeenda na kushindwa uchaguzi. Ni kanuni ile ile. Hushindwi uchaguzi halafu unarudi tena na kusema "nipeni tena". Hata kwenye timu za mpira mkileta kocha mnataka kushinda ubingwa siyo kushinda mechi nyingi kuliko msimo uliopita!
 
Kwa haki na kwa kulinda heshima ya chama, Mbowe hakutakiwa kugombea uenyekiti wa chama, kwa maana nyakati zilizopo zimebadirika zinahitaji mbinu nyingine ili kuuvusha upinzani kwenye huu mkwamo uliopo.
Ile ilikuwa ni nafasi nzuri sana kwa chama kujipanga upya... sasa watu wale wale. wenye fikra zile zile wakiwa na malengo yale yale wanataka kuleta mabadiliko? Ukipanda mchongoma...
 
That is not Africa man! Nikisema Afrika (SA excluded) hakuna wa kujiudhulu kisa mikakati ya chama haifanikiwi. Kwa Mh. Mbowe mikasa anayoipata si kwa sababu ya chama chake kukosa mikakati mizuri bali dola imetumika kumdhoofisha. Hata akijiudhulu atakayeingia hawezi kuleta jipya - sana sana atakiangusha chama shimoni labda awe tayari kulamba viatu vya watawala. Kama kungekuwa na siasa safi CDM wangekuwa imara zaidi na hawa hama-hama wasingekuwepo. Hatujawahi kushuhudia katika Tanzania wabunge na madiwani wengi kuhama chama kisa - KUUNGA MKONO JUHUDU....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watu wanatokea wapi?
Siasa sio sawa na mchezo wa mpira unujue...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda uko sahihi, lkn wanaoondoka wanaelekea wapi? Kwa vyama kama 20, ccm ndio chenye malaika. Haitsidia kujiuzulu hadi mpango utimie. Hakika unaowona wamesimama hawako wima! Ni muda tu
 
Zilipendwa wewee..
Unadharaulika sana hivi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…