Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

Mwizi kabla hujamuita mwizi, yeye ndiye anayekuita mwizi. SS leo wewe wewe unamuita mleta mada mnafiki......!!!!!!, ama kweli tukiwa hai tutaona mengi.

Kibaraka kama wewe Bendera, unayepangiwa la kusema, unapata wapi ubavu wakuweza kumsema mleta mada.

Ni msomi kukushinda, mwanasiasa mpevu, ni mtu inteligent aliyekuzidi wewe na hao wanaokuendesha kwa remote. Hufikii hata kiatu chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, ikijuuzuru ndio maisha ya watanzania yatakuwa bora au? Mwanakijiji siku hizi umeishiwa sana, maana haueleweki nini unapigania.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe piga kazi.
wacha kusikiza hizi kelele za hawa waganga njaa!!
 
Unaonaje kuishauri ccm iachie madaraka kwa kushindwa kudumisha "DEMOKRASIA" HASA TANGU 2015 kama kweli wewe ni mkweli?
 
Duh, pole sana kama mbinu ndio anazo Sumaye na Mwambe basi umechemsha.
Kwa haki na kwa kulinda heshima ya chama, Mbowe hakutakiwa kugombea uenyekiti wa chama, kwa maana nyakati zilizopo zimebadirika zinahitaji mbinu nyingine ili kuuvusha upinzani kwenye huu mkwamo uliopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanankijiji amezungumzia kujiuzulu baada ya kushindwa kwenye uchaguzi, sio wakati wa watu wanapohama chama.

Soma vizuri bandiko lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea kweli tupu....
 
M.kijiji nikujulishe kuwa... Mbowe ni ccm.
 
Haya maswali akijibu nitag mkuu. Nimuongeze na hili, je ana uhakika kuwa upinzani haukushinda huo uchaguzi wa 2015?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo wakati mzuri wa kuto jiuziru ama vinginevyo huu ndiyo wakati mzuri wa kukiimarisha chama nani asiye jua njaa miongoni mwetu ni Kali hakuna cha wapiga dili ama wazalendo wa kweli nisawa na kuwa na mwanamke mzuri halafu huna hela je atakula u handsome wako? wengi wanajiunga na siasa kwa masilahi binafsi tuko kwenye msafara wa mamba. Nawasihi subirini wakati wa kampeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama watu hufanana itikadi! Wanaweza kitofautiana mawazo ila itikadi hunakiwa kuwa roho ya Chama .
Sasa mshangao ni watu wengi wanaokinzana mawazo kwenye chama hiki wanashindwa kuendelea kutokana na hofu nadhani ni kwakuwa wanakijua chama hiki vizuri.



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naunga mkono hoja.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…