I agree Mwanakijiji...
Kwa kasi ya CHADEMA inavyopoteza members wake especially wa juu...
I guess inatakiwa short term stratergy ya kugeuza upepo ...
Kitu cha tofauti kitakachowavuta Members wapya na Kuretain Members wa zamani...
Nachokifikiria mimi ni Safu ya uongozi kubadilishwa..
Waje watu charismatic,wanaoeza kuinfluence..waje na mawazo Mapya!...
Kukiwa na viongozi wapya na Vision mpya,clear mission..stratergies...
Hapo mta attract Attention kutoka kwa watu wa kawaida...
Otherwise ni sawa na kusuburi embe chini ya mti wa mnazi
Mimi kama Muha naipongeza CDM kwa kumchagua tena Mbowe!CCM haiwezi kuishauri jambo jema CDM,kamwe!Nawaza tu ingekuwaje kama Mwambe au Sumaye wangeshinda uenyekiti CDM!Hongera wanaCDM kwa kuona mbali!Mbowe ni Kiongozi wa kimila mnasahau hilo, ni Chief wa Wamachame, hivyo Wamachame hawawezi kukubali kwani hawaoni jinsi muonavyo ninyi, na ndo maana wanakuwa emotional linapokuja swala la kumwajibisha Mbowe, wanaona the clan is under attack hivyo wanatetea, ...
Kamuulize wasira aliahidi kitakufa ila kafa yeye Chadema ipo.Hiki chama kinaelekea kufa... Very poor
Unataka kusema sababu ya CDM kushindwa chaguzi ni Mbowe?!Soma bila kuweka hisia zilizoumizwa. Unaona bado anastahili kuongoza CHADEMA kuelekea kushindwa tena? Hadi nini kitokee ndio utajua upinzani unahitaji kiongozi mwingine?
Sasa kama unalijua hilo,kwanini unashawishi Mbowe ajiuzulu?Kwani akiingia huyo unayemtaka ndio serikali ya CCM itaweka usawa?Au unashauri ili aje kiongozi atakayehamasisha uasi ili kuiondoa CCM madarakani?Duh, hili ni mojawapo ya makosa makubwa. Labda umesahau maana ya utamu wa madaraka. Ni nchi gani ambapo chama kilichotawala muda mrefu kinafanya siasa za "kiistarabu" ili hatimaye chama cha upinzani kije kuingia madarakani? Labda una mfano mmoja wa aina hiyo?
Hao vijana wa Bavicha hawajui kwamba 2005-2010 Mzee Mwanakijiji ana mchango mkubwa kwenye ukuaji wa CHADEMA akiwa ameshiriki kuandika ilani zote za CHADEMA.Mwizi kabla hujamuita mwizi, yeye ndiye anayekuita mwizi. SS leo wewe wewe unamuita mleta mada mnafiki......!!!!!!, ama kweli tukiwa hai tutaona mengi.
Kibaraka kama wewe Bendera, unayepangiwa la kusema, unapata wapi ubavu wakuweza kumsema mleta mada.
Ni msomi kukushinda, mwanasiasa mpevu, ni mtu inteligent aliyekuzidi wewe na hao wanaokuendesha kwa remote. Hufikii hata kiatu chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hao kunguru tumewafungulia waende CCM tubaki na njiwa!unataka kusema wanachadema mna njaa kuliko kunguru
Tume bado inakigugumizi kutanganza tarehe ya uchaguzi kunawale tarehe ya uchagizi watafikisha miaka 18 watakosa haki yao ya msingi kikatiba wakati wa kuboresha daftari wangelipata muafakaMkuu naheshimu mawazo yako,ila kama hali iko mnavotuaminisha unadhani ni kipi kinacho muogofya jiwe hadi anahangaika kuzuia mikutano,anawabambika kesi kila uchao wapinzani,wanabaka mchakato wa uchaguzi kama ilivyotokea kwenye serikali za mitaa, anatangaza hadharani kuwa ole wake mkurugenzi amtangaze mpinzani kushinda, utekwaji wa wakosoaji wake na mengine mengi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanafikiria kuwapoteza watu kama Kitila, Mwigamba, ni jambo dogo... wengine tuna maslahi zaidi na CHADEMA kuliko watu wanavyofikiria. Tungeshindwa uchaguzi fair and square 2015 leo tungekuwa kwingine kabisa...Hao vijana wa Bavicha hawajui kwamba 2005-2010 Mzee Mwanakijiji ana mchango mkubwa kwenye ukuaji wa CHADEMA akiwa ameshiriki kuandika ilani zote za CHADEMA.
Na ndio awamu hiyohiyo vijana wengi walivutiwa na siasa za upinzani hasa CHADEMA kwa kiasi kikubwa.
Mimi kama Muha naipongeza CDM kwa kumchagua tena Mbowe!CCM haiwezi kuishauri jambo jema CDM,kamwe!Nawaza tu ingekuwaje kama Mwambe au Sumaye wangeshinda uenyekiti CDM!Hongera wanaCDM kwa kuona mbali!
Wewe naye hata hueleweki unasimamia kitu gani!Si ni wewe ulitoa uzi kams huu kuwa ni wakati wa Mbowe kukaa pembeni na kumpisha Mwambe?Baadaye ukaja kuomba radhi ukasema uliingia cha kike na hukutegemea kama Mwambe ni legelege?Naunga mkono hoja.
Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?
Wanabodi, Hili ni bandiko la maswali yenye facts Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?. Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani...www.jamiiforums.com
P
Eti makada wa CCM ndio wanaishauri CDM cha kufanya iwe imara!Si hawa hawa wanakiombea kife??Mbowe haondoki CDM kwa kelele za wajinga, mmemkosa risasi anadunda, mmempachika kesi za ajabu ajabu, mmeharibu mali zake bado hatishiki, mmemtungia mpaka sheria ya kijinga ya vyama inayompa msajili madaraka ya ajabu bado Mbowe yupo tu.
Wote wanaokimbilia CCM sasa ni njaa tu, wanafuata opportunities, hamumdanganyi mtu mwenye kujielewa, ENDELEENI KUPIGA KELELE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Kitila kama ana vision kwanini hakuanzisha chama chake, akaamua kuunga mkono juhudi!, na ule mkakati wake wa pindua Mbowe wewe ndio ulimtuma sio?! we mzee usichezee akili za watu, huyo Mwigamba hata sijui yuko wapi siku hizi!Watu wanafikiria kuwapoteza watu kama Kitila, Mwigamba, ni jambo dogo... wengine tuna maslahi zaidi na CHADEMA kuliko watu wanavyofikiria. Tungeshindwa uchaguzi fair and square 2015 leo tungekuwa kwingine kabisa...
Huyo siku zote anataka ashinde anaemtaka yeye, akishinda Mbowe lazima apige kelele, tushamzoea.Wewe naye hata hueleweki unasimamia kitu gani!Si ni wewe ulitoa uzi kams huu kuwa ni wakati wa Mbowe kukaa pembeni na kumpisha Mwambe?Baadaye ukaja kuomba radhi ukasema uliingia cha kike na hukutegemea kama Mwambe ni legelege?
Leo tena umeshasahau unasimamia nini!Daaah,unafiki nao kazi!
Sio kweli,mimi ni Muha na nimefurahishwa Mbowe kuendelea kuongoza CDM!Ameprove kuwa hayumbishwi licha ya jitihada nyingi za kumkwamisha!He is a true legend,sio kama Sumaye,kunyang'anywa mashamba tu katepeta!Basi una matatizo ya akili, kwani wote wanaomfuata Mbowe ni sababu ya uaminifu na utii kwenye clan, wanaamini akianguka Mbowe, imeanguka clan.
Mbona yalishabijiwa huko juu.. huitaji mtu akutag.. soma.Haya maswali akijibu nitag mkuu. Nimuongeze na hili, je ana uhakika kuwa upinzani haukushinda huo uchaguzi wa 2015?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigeugeu sana!Huyo siku zote anataka ashinde anaemtaka yeye, akishinda Mbowe lazima apige kelele, tushamzoea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti makada wa CCM ndio wanaishauri CDM cha kufanya iwe imara!Si hawa hawa wanakiombea kife??
Mipango yao imefeli,Mbowe anawaumiza sana kichwa!
Endeleza ukabila!!
Tunajua uko mlengo gani kwa faida ya nani.
Wewe ni sawa na zilpendwa,hakuna wa kukuamini tena.
Uliheshimika kwa hoja zako na si kwa jina lako unalotaka kuendelea kulitumia kwa faida ya unaowatumikia.
Mapandikizi yenu yamefeli sasa mnatapata!!
Wewe na Dr.Mihogo wote wanafiki.