Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

Huyo msomi ambaye hawezi kutengeneza sh 1000 kwa Sikh mpaka awalsmbe wanasisiasa matako
 
Hayo maneno kamwambie msukuma mwenzio john momose cheyo na lyatonga mrema.
 
Hahongeki!!!

Rejea uchaguzi mkuu wa 2015 ndiyo uje na jibu sahihi kama anahongeka au la!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MMmwanakijiji;
Sikutegemea kuisikia hoja mfu ka hii itoke kwako. Nadhani mwenye id amesha hakiwa sio bure. Mwenye hiyo ID tunamfahamu kuwa ni muelewa wa mambo naye ni mwalimu sana.
Hivi weye, waweza kutuambia chama kilichowahi kupata wabunge wengi ka CDM?? Chama cha upinzani hadi kuweza kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni hadi Spika akaamua kubomoa kanuni na bila mficho akaamua kuitafsiri kanuni ka atakavyo ili awaingize vyama vingine kwenye KUB?
We mzee, uliwahi kuona lini KUB ikifanyiwa kila figisu kuiharibu tu ili isiwe KUB? Nadhani weye ndo unatakiwa kujiuzulu kabisa kutoka JF na michango yako ifutwe kwenye Hansard zote za ma GT.
Nilikuwaga nakuunga mkono sana ila leo. Naomba nitofautiane nawe. Wazo lako umetumwa kulileta kwetu ma GT limekataliwa
 
Why are you getting personal?

Huna hoja?
liwalo na liwe , Mwanakijiji ni mfuasi wa Dr Slaa kama vile unavyoweza kuwa wewe na mfanyakazi wako wa ndani , hakuna asichojua kwamba Slaa alijiuza kwa udalali
wa mkewe lakini anataka kuaminisha watu humu kama Slaa aliondoka kumkimbia Lowassa , alipitishwa mlango wa chooni pale Kilimanjaro kwa udhamini wa Mwakyembe , akamtukana Sumaye leo yuko chama kimoja na Sumaye na lowassa mbona hakujiuzulu ubalozi ? haya yote Mnafiki Mwanakijiji anajua leo anakuja na ujinga wake hapa ! kachokoza nyuki .
 

Una chuki na hasira mpaka hueleweki hata unachokiandika.
 
Ni nani waliomteua kuwa chifu wa wamachame?au ni wewe umemteua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanapenda maigizo sana!Hii yote ni kwasababu ya JPM kupenda kuonekana anapendwa!
 
Hata magufuli ni msomi tena ni Dr kabisa lakini nenda kamuulize Leo Saddam hussen alikuwa rais wa wap atakujibu "LIBYA"
 
Hawa watu wanafiki sana, wanakula CCM halafu wanataka kulala CDM!, Slaa alipokimbia CDM alipewa ulinzi na TISS but hawataki kusema walikuwa na mahusiano gani na hao jamaa, wajinga wanadhani hatuna kumbukumbuku, CDM haikufa, haijafa, na haitakufa, damn that is spirit, it lives with people, sio kujidanganya kumchukua Mashinji alieonesha toka mwanzo hana tena uelekeo baada ya kutoswa u-katibu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kazi yenu ni kupiga kelele tu za mtu ajiuzulu!

Why ajiuzulu? Kwani anajichagua mwenyewe? Kama anachaguliwa means wanachama ambao wanachangia chama wanamkubali

Ww umekaa zako na familia yako umeshakula umeshiba hutoi hata mia kwenye chama, kazi ni kutoa maoni tu nani aingie nani atoke!
 
Ongeza na hili, ni Tanzania pekee ambapo mzalendo ni yule anayetetea maovu ya serekali na kuficha maovu ya serekali na yule ambaye anapiga picha barabara mbovu adhabu yake ni kufungwa jela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…