OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hizi kauli za pwani za kupumuliwa kisogoni unawachanganya Mbutembute Fc watazidi kuongeza speed ya kulalamika
Kicha ya kisogo
5Hivi hao yanga nao wamebakiza mechi ngapi wakuu???
Smart guy
Tano tuHivi hao yanga nao wamebakiza mechi ngapi wakuu???
Smart guy
Tukishinda mechi zote tutaweka rekodi ya kumaliza ligi na points zaidi ya 100
Tukicheza mechi mbili mbeya zitakazobaki si zitakua Uwanja wa mkapa labda na ya mtibwa kwao!
Hujui alipigwa zengwe kabla ya uchaguzi?Miviporo yote bado unajisifu. .Al shabab lazima apigwe zengwe la uraia. .ndio atajua Yanga ni timu ya wananchi. .
Azam anampumulia Simba?
Hawezi,point 6 na michezo mitano zaidi. Nyie ndio mnapumuliwa,tena mnapumuliwa na Kagere six packs,haaaaa haaaaaAzam anampumulia Simba?
Acha matusi weweYanga anaendelea kupumuliwa kisogoni