Kuhama uwanja wa Azam complex sababu zikiwa;
1. Prince Dube kupunguziwa mwanga wa taa anapokaribia goli ( huu upuuzi makubwa)
2. Aziz Ki aliona jiwe badala ya mpira.( Uchawi umewazidi wanakimbia kivuli chao)
3. Viti vya watazamaji vinawaumiza viuno mashabiki ( Sijui inahusiana nini na wao kufungwa!)
4. Wanasafiri masaa manne kwenda Azam complex kama vile wanaenda Tanga ( mfa maji haachi kutapa tapa)
5. Wamewekewa CCTV cameras ( wananyimwa nafasi ya kufanya mambo ya utamaduni ila sijui kwa nini wanasajili kwa hela nyingi!)
Msimamo huo wa club ni kupitia msemaji wao.
Ni jambo la kusikitisha kuona club inayojinasibu eti kubwa inakuwa na sababu za kitoto mno ambazo hazina mantiki yoyote na hazihusiani kabisa na wao kupoteza mechi mbili.
Mi ninaona kurujuani imeanza kuwaingia vilivyo.Waende wakamwombe msamaha mzee