Msimamo wa goli la Mama, 2024-2025

Msimamo wa goli la Mama, 2024-2025

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Young Africans- goals 17- million 85Tsh

Azam fc- goals 1- million 5Tsh

Coastal Union- goals 0- 0Tsh

Simba -goals 0 - 0Tsh

Pesa ya mama haijaenda kwenye kombe la akina mama

Simba atatolewa Leo kwenye kombe la akina mama bila kupata pesa ya mh Rais

Yanga team kubwa sana
 
Young Africans- goals 17- million 85Tsh
Yanga team kubwa sana
Hapo utopolo imepata za kumalizia hela ya Kagoma, Kibabage na Andambwile. Kwa hiyo dirisha dogo Kagoma anaenda kucheza utopolo. Usajili wa Simba ni 7B, wa utopolo goli la mama 😀 😀 😀
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom