Msimamo wa kundi "D" kombe la shirikisho africa utakavyomalizika

kaka-blaza

Member
Joined
Nov 7, 2019
Posts
96
Reaction score
141
habari za majukumu wanasoka wenzangu.

leo tarehe 20/03/2022 majira ya saa 19:00 tunaenda kushuhudia mechi za raundi ya tano katika kundi D kombe la shirikisho Afrika.
Ambapo msimamo upo kama hivi-

Timu. alama
1: Simba 7
2: ASEC Mimosas 6
3: RS Berkane 6
4: Gendarmarmerie. 4 .

na mechi za leo ni
ASEC vs Simba
USNG vs Berkane.

muda wa mechi zote ni saa 19:00.

nionavyo,
baada ya mechi za leo msimamo utakuwa kama ifuatavyo,

1: ASEC Memosas 9
2: Simba 7
3: USNG 7
4: RS Berkane 6.

Ambapo baada ya mechi za mwisho za makundi msimamo utasomeka kama ifuatavyo.

1: RS Berkane. 9
2: ASEC Memosas 9
3: Simba 8
4: USNG. 8.


Mwisho wa ndoto, na usiku umekwisha. acha niamke wahi kazini.

UPDATE:
Hao RS Berkane wamechomoa dakika ya 90 hivyo kuambulia sare inayofanya msimamo kuwa tofauti na ndoto yangu hapo juu.

na sasa msimamo upo kama ifuatavyo

1: ASEC memosas. 9
2: RS Berkane. 7
3: Simba. 7
5: USNG 5.

na hivyo kufanya yeyote kuwa na uwezekano wa kupita kwenye hilo kundi.
 
Sio ndoto huo ndio ukweli/uhalisia
 
Kichwa cha habari kingebidi kiwe MSIMAMO WA KUNDI "D" KOMBE LA SHIRIKISHO NAVYOTAMANI KUMALIZIKA
 
Kichwa cha habari kingebidi kiwe MSIMAMO WA KUNDI "D" KIMBE LA SHIRIKISHO NAVYOTAMANI KUMALIZIKA
naamini kitabadilishwa.


tena nilipenda kiwe

"Maajabu ya msimamo kundi 'D' kombe la shirikisho Afrika. wamwisho atakuwa wa kwanza"
 
Watabiri wengi huzitelekeza thread zao wanazozianzisha
 
Haya ni matamanio yenu Utopolo. Subirini muwapokee usng wanakuja hivi karibuni.
 
Tena Ndoto ya Mchana
 

Hizi kweli ni Ndoto
 
Utopolo walijua maneno yanacheza mpira eti THE RETURN OF CHAMPIONS mechi moja tu chalii ila manara anajua kuwajaza ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…