Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Mbona goli diferenti hapo ni 6x6 kama size ya kitanda
Mayele akisoma haya maneno yako atacheka sanaLigi ya msimu huu ni ngumu sana kila mechi ni fainali.
Muda bado sanaWana Yanga furaha Kama yote. Ligi hii itaamuliwa kwa magoli
Wewe Kolo ulishindwa nini kufunga goals nyingi?Kinachowaweka utopolo juu ni goal za kufunga wao 9 Simba 8
Yanga akishakaa hapo kileleni ndiyo basi tena! Wengine wapiganie tu nafasi ya pili na kuendelea.
Shs ngapi mkuu?Ninauza msimamo wa ligi kuu Simba akiwa kileleni.
Kwetu sisi wananchi ligi ni nyepesi mno sijui kwa nyie wengineLigi ya msimu huu ni ngumu sana kila mechi ni fainali.
Ukitaka kujua ligi ni ngumu waangalie Simba wanavyotoka jasho kila mechi wanasubiri dakika za mwisho ila ukitaka kujua ligi ni nyepesi waangalie YangaLigi ya msimu huu ni ngumu sana kila mechi ni fainali.