Msimamo wa Ligi Kuu VPL leo Januari 1, 2018

Msimamo wa Ligi Kuu VPL leo Januari 1, 2018

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
ca85b0d69ef720244b7f7dd0148d80dd.jpg

Haya ni matokeo ya kipute cha leo cha kufungia mwaka 2017 karibu 2018.
8d9b22962076002c33d5f01c98478419.jpg

Uku mwaka 2018 simba mechi zao kama ifuatavyo.
c91fd8056eaf8d9860f4918455cce945.jpg

Karibu mwaka 2018 kwaheri mwaka 2017.
Cheerssss!!!!!!
 
point kwa yanga si kitu, na tukifungwa na mbao hua tunachukua ubingwa. historia haidanganyi.

daima mbele, nyuma mwiko
 
Ila bora yanga naye kapata mpinzani kanda ya ziwa.
 
Anayecheka mwishoni ndiye mjanja! Huenda historia ikajirudia, ngoja tuone!
 
Back
Top Bottom