Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/2024

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,188
Reaction score
6,633
Kesho tarehe 15 /08/2023 ligi Kuu ya mpira wa miguu Tanzania Bara inaanza rasmi msimu wake wa 2023/2024.

Ligi hii ilizinduliwa rasmi kwa mechi ya kilele kati ya Simba na Yanga tarehe 12/08/2023 ambapo timu ya mpira ya Simba ilishinda na kubeba Ngao ya jamii.

Huu hapo ni msimamo wa ligi hiyo inayodhaminiwa na Benki ya Taifa ya Biashara(NBC).

50e2f49a288645fcb4e0442891253b94.jpg
 
Kesho tarehe 15 /08/2023 ligi Kuu ya mpira wa miguu Tanzania Bara inaanza rasmi msimu wake wa 2023/2024.

Ligi hii ilizinduliwa rasmi kwa mechi ya kilele kati ya mahasimu wawili Simba na Yanga tarehe 12/08/2023 ambapo timu ya mpira ya Simba ilishinda na kubeba Ngao ya jamii.

Huu hapo ni msimamo wa ligi hiyo inayodhaminiwa na Benki ya Taifa ya Biashara(NBC).

View attachment 2717459
Tukianza gwaride nyuma geuka nadhani mnajuwa huwa inakuwaje, wa mwisho ndio huwa anakuwa wa kwanza.
 
Kesho tarehe 15 /08/2023 ligi Kuu ya mpira wa miguu Tanzania Bara inaanza rasmi msimu wake wa 2023/2024.

Ligi hii ilizinduliwa rasmi kwa mechi ya kilele kati ya mahasimu wawili Simba na Yanga tarehe 12/08/2023 ambapo timu ya mpira ya Simba ilishinda na kubeba Ngao ya jamii.

Huu hapo ni msimamo wa ligi hiyo inayodhaminiwa na Benki ya Taifa ya Biashara(NBC).

View attachment 2717459
Yanga na Simba siyo mahasimu,rekebisha hapo
 
Leo kuna mechi ila hakuna updates yoyote
Mechi ya kwanza iliyochezwa leo jioni Geita Gold imechukua alama tatu kwa kuifunga Ihefu goli moja.
Mechi ilichezewa Mbarali na goli la Geita limefungwa na Maguri baada ya kuunganisha mpira wa adhabu ya Kona dakika ya tano ya mchezo.
Mechi inayoendelea wakati huu ni kati ya Namungo na JKT ambapo JKT iko mbele kwa BAO moja.
 
Kesho tarehe 15 /08/2023 ligi Kuu ya mpira wa miguu Tanzania Bara inaanza rasmi msimu wake wa 2023/2024.

Ligi hii ilizinduliwa rasmi kwa mechi ya kilele kati ya Simba na Yanga tarehe 12/08/2023 ambapo timu ya mpira ya Simba ilishinda na kubeba Ngao ya jamii.

Huu hapo ni msimamo wa ligi hiyo inayodhaminiwa na Benki ya Taifa ya Biashara(NBC).

View attachment 2717459
Basi umefurahi mwenyewe!!
 
Mechi ya kwanza iliyochezwa leo jioni Geita Gold imechukua alama tatu kwa kuifunga Ihefu goli moja.
Mechi ilichezewa Mbarali na goli la Geita limefungwa na Maguri baada ya kuunganisha mpira wa adhabu ya Kona dakika ya tano ya mchezo.
Mechi inayoendelea wakati huu ni kati ya Namungo na JKT ambapo JKT iko mbele kwa BAO moja.
Anachomaanisha update kwenye post namba moja matokeo na msimamo pia
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom