Tukianza gwaride nyuma geuka nadhani mnajuwa huwa inakuwaje, wa mwisho ndio huwa anakuwa wa kwanza.Kesho tarehe 15 /08/2023 ligi Kuu ya mpira wa miguu Tanzania Bara inaanza rasmi msimu wake wa 2023/2024.
Ligi hii ilizinduliwa rasmi kwa mechi ya kilele kati ya mahasimu wawili Simba na Yanga tarehe 12/08/2023 ambapo timu ya mpira ya Simba ilishinda na kubeba Ngao ya jamii.
Huu hapo ni msimamo wa ligi hiyo inayodhaminiwa na Benki ya Taifa ya Biashara(NBC).
View attachment 2717459
Yanga na Simba siyo mahasimu,rekebisha hapoKesho tarehe 15 /08/2023 ligi Kuu ya mpira wa miguu Tanzania Bara inaanza rasmi msimu wake wa 2023/2024.
Ligi hii ilizinduliwa rasmi kwa mechi ya kilele kati ya mahasimu wawili Simba na Yanga tarehe 12/08/2023 ambapo timu ya mpira ya Simba ilishinda na kubeba Ngao ya jamii.
Huu hapo ni msimamo wa ligi hiyo inayodhaminiwa na Benki ya Taifa ya Biashara(NBC).
View attachment 2717459
Mechi ya kwanza iliyochezwa leo jioni Geita Gold imechukua alama tatu kwa kuifunga Ihefu goli moja.Leo kuna mechi ila hakuna updates yoyote
Basi umefurahi mwenyewe!!Kesho tarehe 15 /08/2023 ligi Kuu ya mpira wa miguu Tanzania Bara inaanza rasmi msimu wake wa 2023/2024.
Ligi hii ilizinduliwa rasmi kwa mechi ya kilele kati ya Simba na Yanga tarehe 12/08/2023 ambapo timu ya mpira ya Simba ilishinda na kubeba Ngao ya jamii.
Huu hapo ni msimamo wa ligi hiyo inayodhaminiwa na Benki ya Taifa ya Biashara(NBC).
View attachment 2717459
Anachomaanisha update kwenye post namba moja matokeo na msimamo piaMechi ya kwanza iliyochezwa leo jioni Geita Gold imechukua alama tatu kwa kuifunga Ihefu goli moja.
Mechi ilichezewa Mbarali na goli la Geita limefungwa na Maguri baada ya kuunganisha mpira wa adhabu ya Kona dakika ya tano ya mchezo.
Mechi inayoendelea wakati huu ni kati ya Namungo na JKT ambapo JKT iko mbele kwa BAO moja.