Msimamo wa Ligi tafadhali

Msimamo wa Ligi tafadhali

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Mwenye kuweza kutupa msimamo wa ligi mpaka usiku huu naomba afanye hivyo.

Yanga bila shaka amebakiza mechi nane kama sio saba mpaka kufikia leo huku akimzidi Simba kwa pointi kumi.

Tusaidieni wenye takwimu sahihi.
 
Msimamo
IMG_20220509_213415.jpg
 
Hujuma. Yanga tunahujumiwa. No doubt!
 
Isingekuwa uzembe wa kocha kudharau mechi za Coastal na Polisi (kwa kuwatunza wachezaji muhimu) na ile sare ya kijinga na Namungo, mpaka sasa tungekuwa tunawapumulia yanga matakoni.

Kitu pekee ni kuhakikisha hawapotezi mechi yoyote, halafu waone sasa.
 
Wakati huu ni wakati muafaka kwa uongozi wa Yanga kutafuta mwanasaikolojia ili wachezaji wasiwe kwenye presha kubwa na benchi la ufundi pia. Hatua hii iliyofikia unaweza shangaa gap inazidi kupungua kutokana na wachezaji na benchi la ufundi kuwa na presha kubwa.

Upande wa Simba ni ngumu kupoteza mechi kirahisi kwa sasa kwasababu kwanza wamepata morali kwamba inawezekana
La pili ni kwamba kila mchezaji anajua msimu ukiisha kuna mapanga hivyo ni lazima mchezaji atakomaa kwa jasho na damu ili aonekana anastahili kubakia Simba. Kama ilivyo kwa Boko juzi
 
Sikuona umuhimu wa Mayele kupewa penalty leo, Hii mechi ya leo tumeipoteza kizembe Sana. Ifike muda tuchague nini tunataka Kati ya ufungaji Bora na ubingwa. Wacha ninyamaze muda utaongea.
 
Isingekuwa uzembe wa kocha kudharau mechi za Coastal na Polisi (kwa kuwatunza wachezaji muhimu) na ile sare ya kijinga na Namungo, mpaka sasa tungekuwa tunawapumulia yanga matakoni.

Kitu pekee ni kuhakikisha hawapotezi mechi yoyote, halafu waone sasa.
Well said.
 
hapo Yanga ingepoteana mbaya sana,pressure ingekuwa mara 10 ya sasa
 
Back
Top Bottom