Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Asante sana.
Wakati huu ni wakati muafaka kwa uongozi wa Yanga kutafuta mwanasaikolojia ili wachezaji wasiwe kwenye presha kubwa na benchi la ufundi pia. Hatua hii iliyofikia unaweza shangaa gap inazidi kupungua kutokana na wachezaji na benchi la ufundi kuwa na presha kubwa.Isingekuwa uzembe wa kocha kudharau mechi za Coastal na Polisi (kwa kuwatunza wachezaji muhimu) na ile sare ya kijinga na Namungo, mpaka sasa tungekuwa tunawapumulia yanga matakoni.
Kitu pekee ni kuhakikisha hawapotezi mechi yoyote, halafu waone sasa.
Well said.Isingekuwa uzembe wa kocha kudharau mechi za Coastal na Polisi (kwa kuwatunza wachezaji muhimu) na ile sare ya kijinga na Namungo, mpaka sasa tungekuwa tunawapumulia yanga matakoni.
Kitu pekee ni kuhakikisha hawapotezi mechi yoyote, halafu waone sasa.
hapo Yanga ingepoteana mbaya sana,pressure ingekuwa mara 10 ya sasaIsingekuwa uzembe wa kocha kudharau mechi za Coastal na Polisi (kwa kuwatunza wachezaji muhimu) na ile sare ya kijinga na Namungo, mpaka sasa tungekuwa tunawapumulia yanga matakoni.
Kitu pekee ni kuhakikisha hawapotezi mechi yoyote, halafu waone sasa.
Nani akuhujumu marefa au.Hujuma. Yanga tunahujumiwa. No doubt!
Kwa table hii sawaSimba bingwa msimu huu sina mashaka .
Itakuwa na Agent HajiHujuma. Yanga tunahujumiwa. No doubt!