Msimamo wa Ligi ya Baridi Tanzania

Nahisi huko Arusha kuna joto...si kwa baridi hii ya huku safari hii πŸ™‡β€β™€οΈπŸ™‡β€β™€οΈ
😁😁😁😁Ile ya Arusha sio kwamba ni kali kiasi Sema napo inatesa
 
Huko Makete,mmmmh halafu mtu anashangaa virusi kusambaa eneo hilo,wakati kuna baridi inachochea.
kama ndio hvyo ,basi nchi za nordic zingeongoza kwa maambukizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…