Makete anaelekea kuchukua ubingwa kwa unbeaten half atakwenda Kwenye World Cup ya barid kushindana na Russia na wengineMsimamo umeakaje?? Bado Makete ni Unbeaten
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nazururaa mitaa ya town na swetaa kubwaa,Jipange na masweta tu mengiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Arushaa wanaisifia baridi, mie nimekaa kulee haifikii Songea hata kidg, baridi iko hapa.Nahisi huko Arusha kuna joto...si kwa baridi hii ya huku safari hii [emoji2308][emoji2308]
Ni kweli,,Arushaa wanaisifia baridi, mie nimekaa kulee haifikii Songea hata kidg, baridi iko hapa.
Njombe
Ruvuma
Mbeya
Afu ndo iringa na Arushaa hukooo.
Hahaha Mziki wa Njombe (hasa Makambako na Makete) sii umeuona lakini, sasa Njombe na Mbeya (Mjini na Tukuyu) zinafukuzanaNimekutumia uone mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]