Ila kwa mtazamo wangu nimeona kama Senegal wametupa somo kidogo hiviiCCM ndiyo wamekubaliana na CHADEMA kuwa kuna haki ya Senegal imeminywa
CHADEMA hii chini ya Tundu Lissu, John Heche n a Mnyika sioni itaweza vipi kushiriki upumbavu ambao waTanzania wamelazimishwa wakubali kuwa ndio hali halisi ya nchi hii.Senegal wamegomea kubebwa kwa Moroco wakaamua kutoa team uwanjani.
Iwapo wangekubali kuendelea ndio ilikuwa imetoka hiyo. Chadema msimamo uwe huo huo hakuna kushiriki chaguzi za kuhuni hadi haki ifuatwe.
Umetumwa?Ila kwa mtazamo wangu nimeona kama Senegal wametupa somo kidogo hivii
Wao mwanzoni walitaka kususa kwa kudai watendewe haki
Lakini baadae walibadili mtazamo baada ya majadiliano yaliyoleta maridhiano na matokeo yake wakawa Mabingwa
Scenario ni ile ile kama ya CDM
CDM watumie mbinu hii itawalipa 2030
Nenda kamwambie Samia aitishe uchaguzi hata wiki ijayo uone kitakachotokea.Acha uzwazwa
Sasa mbona wasenegali hawajachoma uwanja, ila wamerudi kilingeni kupambana na wameshinda,
Chadomo wakaamua kukinukisha, wakapewa dozi ya klorokwini ambayo hawatakaa wakinukishe tena milelel
Makasiriko yanatoka wapi?Umetumwa?
Unaleta ubabaishaji hapa, hata unachozungumzia hukijui?
Kwa nini iwe 2030? Wewe ni bwege tu kama hao wengine.
Unafaidika nini na haya majambazi yanayotushikilia kwa mitutu ya bunduki wakati huu.
Kwa hiyo unataka hao Senegal wasipewe ushindi, bali wasubiri hadi mashindano yatakayofuata?
Bwege kabisa!
Hata haikai hivi utakavyo ww. Senegal wamesusia hadi wakaambiwa kwakuwa maamuzi ya penalti sio sahihi, basi warudi ila mpigaji hatafunga goal, na ndio wakarudi baada ya kupata haki yao. Cdm walisusia hadi kufanyike reforms, na reforms hazikufanyika, ulitaka waingie kwenye uchaguzi ili iweje? Na kwa taarifa yako msimamo wa cdm utaleta reforms kwa uhakika, na cdm watakuwa wanufaika wakubwa wa reforms hizo.Makasiriko yanatoka wapi?
Senegal waliona kususa hakutoleta matokeo chanya yoyote kwani ndo watampa urahisi wa Morocco kukabidhiwa kombe lake
Wakakubali kukaa mezani na hatimaye wamekuwa mabingwa
Same scenario kwa CDM walisusia uchaguzi na tumeona kilichotokea, CCM wamechukua nchi kiwepesi kabisa na msimamo wao wa NRNE haujaleta positive impact kabisa
Maamuzi ya Penalt yalikuwa sahihi ile ni PenaltHata haikai hivi utakavyo ww. Senegal wamesusia hadi wakaambiwa kwakuwa maamuzi ya penalti sio sahihi, basi warudi ila mpigaji hatafunga goal, na ndio wakarudi baada ya kupata haki yao. Cdm walisusia hadi kufanyike reforms, na reforms hazikufanyika, ulitaka waingie kwenye uchaguzi ili iweje? Na kwa taarifa yako msimamo wa cdm utaleta reforms kwa uhakika, na cdm watakuwa wanufaika wakubwa wa reforms hizo.
Kama unajua sheria za mpira, tazama kipa alitoka kwenye mstari kabla ya mpigaji, na refaa hakuagiza irudiwe. Sio lazima ninachosema hapa iwe hivyo, lakini mpigaji hakuwa na dhamira ya kufunga tena, tofauti na kama Senegal wasingekuwa wametishia kugoma kabla.Maamuzi ya Penalt yalikuwa sahihi ile ni Penalt
Walichokuwa wanalalamikia Senegal ni lile tukio lao la kunyimwa goli kutoangaliwa katika VAR
Halafu hilo la kwamba mpigaji hatofunga kwa kuwa maamuzi hayakuwa sahihi umeyatoa wapi? 😅
Na bado huelewi ulichosoma hapo; kwa vile tu wewe ni bwege?Makasiriko yanatoka wapi?
Senegal waliona kususa hakutoleta matokeo chanya yoyote kwani ndo watampa urahisi wa Morocco kukabidhiwa kombe lake
Wakakubali kukaa mezani na hatimaye wamekuwa mabingwa
Same scenario kwa CDM walisusia uchaguzi na tumeona kilichotokea, CCM wamechukua nchi kiwepesi kabisa na msimamo wao wa NRNE haujaleta positive impact kabisa
😀😀😀Hapana, sema ccm leo wameshangilia haki.
Pamoja sana kamandaSenegal wamegomea kubebwa kwa Moroco wakaamua kutoa team uwanjani.
Iwapo wangekubali kuendelea ndio ilikuwa imetoka hiyo. Chadema msimamo uwe huo huo hakuna kushiriki chaguzi za kuhuni hadi haki ifuatwe.
Mkuu una tatizo gani kichwani mwako mbona unahorojoka bila breki?Acha uzwazwa
Sasa mbona wasenegali hawajachoma uwanja, ila wamerudi kilingeni kupambana na wameshinda,
Chadomo wakaamua kukinukisha, wakapewa dozi ya klorokwini ambayo hawatakaa wakinukishe tena milelel
Unakuwa kama huna akili kichwani.Maamuzi ya Penalt yalikuwa sahihi ile ni Penalt
Walichokuwa wanalalamikia Senegal ni lile tukio lao la kunyimwa goli kutoangaliwa katika VAR
Halafu hilo la kwamba mpigaji hatofunga kwa kuwa maamuzi hayakuwa sahihi umeyatoa wapi? 😅
Unachoandika hakieleweki halafu eti ni Platinum member aisee 😒Unakuwa kama huna akili kichwani.
Sasa kama haya unayoeleza hapa ndiyo sahihi; imekuwakuwaje Senegal hatimae wakapewa HAKI iliyowafanya warudi uwanjani.
Samia alipokataa kwa maksudi kabisa kufanya marekebisho, hakuwanyima CHADEMA HAKI?
Na ulivyo mpuuzi kama yeye, sasa unadai CHADEMA washiriki ili wapate HAKI 2030; wakati HAKI inatakiwa sasa!
Jambazi ananyang'anya mali yako; unakwenda mahakamani jambazi huyo huyo anakwambia huna HAKI ya kudai ulichonyang'anywa, ila subiri hapo jambazi huyo huyo atakapotaka kuja kunyang'anya mali nyingine?
Samia ni MHALIFU asiyetakiwa kuachwa afaidike na matokeo ya uhalifu wake; ikiwa ni pamoja na kuua waTanzania.
Mzee wangu,Na bado huelewi ulichosoma hapo; kwa vile tu wewe ni bwege?
Sasa unataka niendelee kupoteza tu muda wangu kujibishana na nguruwe kama wewe!
Mkuu mimi najadili kama shabiki wa mpira na sio hayo mabishano ya kisiasa,imekuwakuwaje Senegal hatimae wakapewa HAKI iliyowafanya warudi uwanjani.
Mada imeletwa kisiasa; kwa mlinganisho wa msimamo wa CHADEMA kutoshiriki uchafu wa Oktoba; na msimamo wa Senegal kukataa kuendelea na mechi hadi walipohakikishiwa haki kwenye mchezo huo?Mkuu mimi najadili kama shabiki wa mpira na sio hayo mabishano ya kisiasa,
Je uliangalia mechi ya Final Senegal vs Morocco?
Ni HAKI gani hiyo waliyopewa Senegal ndio ikawafanya warudi uwanjani?
Kama nilivyosema toka mwanzo, sitegemei bwege kama wewe kuelewa chochote. Maandishi yako yako wazi kabisa.Unachoandika hakieleweki halafu eti ni Platinum member aisee 😒
Haya,
Niambie haki gani ambayo Senegal walikuwa wanaidai na wakaipata baada ya kugoma? Niambie haki ipi?
Maana baada ya ile issue mkakimbilia kutweet na kuhadaa watu kuwa wametumia mbinu ya CHADEMA ila hamkuwaweka wazi kuwa mbinu ya CDM lifeli wakaamua tu waingie katika maridhiano ndo wakatoboa
Hivi kweli unajihisi wewe kuwa miongoni mwa "vijana wenye akili", 'seriously'?Kwenye mijadala na vijana wenye akili timamu nakuomba usipende kutumia hiyo lugha ya dhihaka.Jukwaa limebeba watu wa aina tofauti tofauti
Ni hivi, kama hujui: mimi ni mimi, siyo hao wengine.Jifunze kwa wakongwe wenzako humu kina @Kiranga @Mshana Jr