The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Unazidi kujiaibisha tu,This language must be tough for you. There's no such thing as "running from yourself"! You're not going to be creating meanings of words in a language yo have no clue about!
haya yote unayasema yaliyo kicwani mwako, na kuyafanya yanihusu mimi. Sasa unataka nikusaidie nini?Wewe sema umepuyanga,punguza ujuaji,hapo unajiona bonge la GT mwenyewe,kama sio Jukwaa la sport ndio upotoshe issue ya sport kwa kitu ambacho hakikutokea? Jitafakari aisee,pia acha kujiaminisha kua una uelewa mkubwa kuliko wengine.
Kumbe hata hukumbuki unachokiandika hapa! Bila shaka umesha anza kutetemeka hadi vidole,halafu so far nakuchukulia easy tu,nilikukazia kidogo coz ulianza kuniletea lugha za kejeli,huko usijaribu kabisa,ni bora utumia lugha ya staha tu,huko kwenye kejeli usijaribu,utaichukia JF.Sasa unapuyanga tu mradi uonyeshe upo. Niliandika wapi kujuwa kilichojadiliwa kwenye dressing room ya Senegal?
Nijiaibishe kwako; for what gain?Unazidi kujiaibisha tu,
Punguza kukurupuka,uwe unajipa muda wakutafakari kwanza.
Sasa hata hiyo soka unayodai unaijuwa, ninayo mashaka makubwa na hilo kwa mwendo huu unaouonyesha hapa.Kumbe hata hukumbuki unachokiandika hapa! Bila shaka umesha anza kutetemeka hadi vidole,halafu so far nakuchukulia easy tu,nilikukazia kidogo coz ulianza kuniletea lugha za kejeli,huko usijaribu kabisa,ni bora utumia lugha ya staha tu,huko kwenye kejeli usijaribu,utaichukia JF.
Unaona sasa usivyokua muelewa,unajiaibisha hapa JF kwani unachokiandika nakisoma mimi tu humu JF mpaka usema unajiaibisha kwangu?Nijiaibishe kwako; for what gain?
Hayo mashaka ungeanza kujitilia wewe mwenyewe kwanza,unaonekana hata uelewa wako ni wamashaka sana.Sasa hata hiyo soka unayodai unaijuwa, ninayo mashaka makubwa na hilo kwa mwendo huu unaouonyesha hapa.
Kwani wewe ndio umejipachika uwakilishaji wa hao wengine wote? nani kakutuma!Unaona sasa usivyokua muelewa,unajiaibisha hapa JF kwani unachokiandika nakisoma mimi tu humu JF mpaka usema unajiaibisha kwangu?
Hivi wewe ni mzima kweli? Wapi nimesema kuwakilisha watu? Nimekwambia unachokiandika kinasomwa na wengi humu,sio peke yangu,Kwani wewe ndio umejipachika uwakilishaji wa hao wengine wote? nani kakutuma!
sijadai popote kuelewa hiyo soka. Unataka nirudie mara ngapi?Hayo mashaka ungeanza kujitilia wewe mwenyewe kwanza,unaonekana hata uelewa wako ni wamashaka sana.
Soma hayo maneno yako niliyojibu. Unamsemea nani zaidi ya wewe mwenyewe.Hivi wewe ni mzima kweli? Wapi nimesema kuwakilisha watu? Nimekwambia unachokiandika kinasomwa na wengi humu,sio peke yangu,
Kumbe wewe jamaa uwezo wako wakufikiri na kuchambua mambo ni mdogo kiasi hicho? Hata hiyo hoja nyepesi tu umeshindwa kuielewa!
Wapi nimekwambia kua ni uelewa wa soka? Hata hiyo siasa unaonekana huijui vizuri zaidi ya kubishana tu na kejeli.sijadai popote kuelewa hiyo soka. Unataka nirudie mara ngapi?
Take a break,naona kama umechanganyikiwa tayari,na ungeendelea na ile lugha yako ya udhalilishaji dhidi yangu,ndio ungechanganyikiwa hasa,maana nisingekuacha.Soma hayo maneno yako niliyojibu. Unamsemea nani zaidi ya wewe mwenyewe.
Sasa umetoka kwenye soka umekuwa stadi wa siasa au siyo?Wapi nimekwambia kua ni uelewa wa soka? Hata hiyo siasa unaonekana huijui vizuri zaidi ya kubishana tu na kejeli.
Unapenda sana kupangia wengine mambo yasiyokuhusu. Unalitambua vizuri tatizo hili?Take a break,naona kama umechanganyikiwa tayari,na ungeendelea na ile lugha yako ya udhalilishaji dhidi yangu,ndio ungechanganyikiwa hasa,maana nisingekuacha.
Wewe mwenye tatizo unaweza usijijue ila wengine ndio wakakujua.Unapenda sana kupangia wengine mambo yasiyokuhusu. Unalitambua vizuri tatizo hili?
Kama tayari unakubali unalo tatizo hilo, siyo ajabu ukafikiri wengine pia wako kama wewe.Wewe mwenye tatizo unaweza usijijue ila wengine ndio wakakujua.
Wewe Swali langu ni lazima ulijibu,au ukubali hapa kua ulikurupuka,Sasa umetoka kwenye soka umekuwa stadi wa siasa au siyo?
Hujui kuwa nimekwisha jibu hilo swali hadi sasa?Ulisema Senegal walirudi uwanjani baada ya kuhakikishiwa HAKI yao,
HAKI yao hiyo, ndiyo iliyowapa ushindi.Wewe Swali langu ni lazima ulijibu,au ukubali hapa kua ulikurupuka,
Ulisema Senegal walirudi uwanjani baada ya kuhakikishiwa HAKI yao,
Nikakuuliza,
Walihakikishiwa HAKI gani? Walihakikishiwa na nani?
Senegal walitoka uwanjani kugomea ile Penalty,na walivyorudi ile Penalty waliyoigomea ilipigwa,
Katafute jibu la hayo maswali yangu,acha kuleta ngonjera zisizokuwepo,umejaribu kunitoa kwenye swali langu ila nimerudia tena JIBU MASWALI yangu hayo Mr Genius,Great thinker wa JF