The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Jibu swali acha porojo,unajua maana ya kusema "Walihakikishiwa haki yao?"Hujui kuwa nimekwisha jibu hilo swali hadi sasa?
Walichojadili na kuamua kurudi uwanjani, ndiyo ilikuwa HAKI yao
Hakuna aliyewalazimisha; walifanya uamzi wao wenyewe kwa hiari yao. Ni HAKI yao waliitumia.
Haki ipi iliwapa ushindi? Vipi kama wasingeshinda hiyo mechi?HAKI yao hiyo, ndiyo iliyowapa ushindi.
Ni kipi usichokielewa hapa!
Huwezi kubadili chochote kama hutaki jibu. Jibu ni hilo.Jibu swali acha porojo,unajua maana ya kusema "Walihakikishiwa haki yao?"
Walichojadili ndio ilikua haki yao? Walijadili nini? Hivi unajua kua kitendo cha wao kutoka nje ya uwanja ni kosa? Na wataadhibiwa na FIFA? yani kuvunja sheria za Soka ndio haki yao? Kwahiyo uliposema Walihakikishiwa haki yao ulimaanisha walihakikishiwa na nani? Haki ipi hiyo? Hili swali ni lazima ulijibu,acha janja janja ili siku nyingine uache kukurupukia kwenye vitu usivyovijua,
Haki ipi iliwapa ushindi? Vipi kama wasingeshinda hiyo mechi?
Sikiliza wewe jamaa,Senegal waligomea penati,wakasusa wakatoka uwanjani,Sadio Mane captain wao akawashawishi wakarudi uwanjani,kisha penati waliyoigomea ikapigwa.
SIku nyingine usikurupuke humu na kuandika vitu usivyovijua,hii ni JF sio grp la kwenu huko,uwe unatafakari kwanza kabla ya kuandika kitu usichokijua,Huwezi kubadili chochote kama hutaki jibu. Jibu ni hilo.
Siwezi kuwa na jibu unalotaka wewe.
Senegal walitumia HAKI yao. Walijadili hali iliyokuwepo, wakatumia HAKI yao na kuamua kurudi uwanjani. Hakuna aliyewanyima HAKI yao hiyo; na waliitumia fursa hiyo hadi kuibuka na ushindi.
Sasa unanilazimisha nikujibu vipi unavyotaka wewe?
Yaleyale niliyokuonya juu yake; wewe huna uwezo wa kuniamlia chochote mimi.SIku nyingine usikurupuke humu na kuandika vitu usivyovijua,hii ni JF sio grp la kwenu huko,uwe unatafakari kwanza kabla ya kuandika kitu usichokijua,
Mtu anayejielewa hawezi kuita uvunjifu wa kanuni za soka kua ni haki,
Ingekua ni haki yao wasingeomba msamaha wala FIFA wasingesema watawapa adhabu.
Wewe huna mamlaka yakumuonya mtu yeyote humu JF acha kujipa umuhimu huo,Yaleyale niliyokuonya juu yake; wewe huna uwezo wa kuniamlia chochote mimi.
Unaponizungumzia mimi, ninayo mamlaka hayo, ukubali usikubali hilo ni shauri lako.Wewe huna mamlaka yakumuonya mtu yeyote humu JF acha kujipa umuhimu huo,
Huwezi ukapotosha humu kisha ukaachwa tu,sahau hilo.
"Walihakikishiwa HAKI yao ndio wakarudi uwanjani"Unaponizungumzia mimi, ninayo mamlaka hayo, ukubali usikubali hilo ni shauri lako.
Huna uwezo wa kuniamria jambo lolote.
Hakuna kilichopotoshwa. HAKI imetendeka, Senegal ni mabingwa; sasa unataka nini?
Nenda kawanyang'anye ubingwa kama hutaki.
hiyo HAKI yao wewe huitaki? Ulitaka uwaamulie wewe kipi cha kufanya?"Walihakikishiwa HAKI yao ndio wakarudi uwanjani"
Kichekesho chakufungulia mwaka hiki.
Wewe jamaa dah! Kuvunja sheria ni haki? Kutoka uwanjani ni kosa ila wewe umekazania eti haki! Mwisho wake umegeuka kua kituko tu,una confidence ya kuongea kitu ambacho hukijui! Ina maana hata hujui kua Senegal wameomba msamaha kwa kutoka uwanjani? Sasa kama ilikua ni haki yao kwanini waombe msamaha?hiyo HAKI yao wewe huitaki? Ulitaka uwaamulie wewe kipi cha kufanya?
Kwani bingwa ni nani?Wewe jamaa dah! Kuvunja sheria ni haki?
Waridhiane na CCM?Ila kwa mtazamo wangu nimeona kama Senegal wametupa somo kidogo hivii
Wao mwanzoni walitaka kususa kwa kudai watendewe haki
Lakini baadae walibadili mtazamo baada ya majadiliano yaliyoleta maridhiano na matokeo yake wakawa Mabingwa
Scenario ni ile ile kama ya CDM
CDM watumie mbinu hii itawalipa 2030
Waridhiane na CCM?Ila kwa mtazamo wangu nimeona kama Senegal wametupa somo kidogo hivii
Wao mwanzoni walitaka kususa kwa kudai watendewe haki
Lakini baadae walibadili mtazamo baada ya majadiliano yaliyoleta maridhiano na matokeo yake wakawa Mabingwa
Scenario ni ile ile kama ya CDM
CDM watumie mbinu hii itawalipa 2030
Lakini walirudi na kufanya maajabuSenegal wamegomea kubebwa kwa Moroco wakaamua kutoa team uwanjani.
Iwapo wangekubali kuendelea ndio ilikuwa imetoka hiyo. Chadema msimamo uwe huo huo hakuna kushiriki chaguzi za kuhuni hadi haki ifuatwe.
Chadema wamegoma na kombe limechukuliwa, acha kuifananisha Senegal na vitu vya kijinga.Senegal wamegomea kubebwa kwa Moroco wakaamua kutoa team uwanjani.
Iwapo wangekubali kuendelea ndio ilikuwa imetoka hiyo. Chadema msimamo uwe huo huo hakuna kushiriki chaguzi za kuhuni hadi haki ifuatwe.
Umerukia ya bingwa ni nani? kwani issue inajadili bingwa ni nani?Kwani bingwa ni nani?
Senegal walivunja sheria kwa kutoka uwanjani,ndio maana wameomba radhi kwa tukio hilo,FIFA pia wamesema watawapa adhabu kwa kitendo hicho,hii issue ni very simple kuielewa,sema ni kwa vile tu umejipanga kubishana badala ya kuelewa.Ni wapi walipovunja sheria Senegal; kutumia HAKI yao ya maamuzi ni kuvunja sheria?
Ulipotosha hapa kwa kusema Senegal walirudi uwanjani baada ya kuhakikishiwa haki yao,sasa walihakikishiwa haki gani wakati kitendo cha kutoka nje ya uwanja ni kosa kwa kanuni za FIFA?Kinachokusumbua wewe ni nini katika swala hili la Senegal?
Siwezi tena kupoteza muda, nimekwisha kueleza kila kitu. Huna jipya tena la kujadili.Umerukia ya bingwa ni nani? kwani issue inajadili bingwa ni nani?
Senegal walivunja sheria kwa kutoka uwanjani,ndio maana wameomba radhi kwa tukio hilo,FIFA pia wamesema watawapa adhabu kwa kitendo hicho,hii issue ni very simple kuielewa,sema ni kwa vile tu umejipanga kubishana badala ya kuelewa.
Ulipotosha hapa kwa kusema Senegal walirudi uwanjani baada ya kuhakikishiwa haki yao,sasa walihakikishiwa haki gani wakati kitendo cha kutoka nje ya uwanja ni kosa kwa kanuni za FIFA?
Huna jipya wewe,bora upige kimya coz unazidi kuthihirisha ujinga wako hapa,naona umeshakua mtabiri sasa,kwenda huna jipya.Siwezi tena kupoteza muda, nimekwisha kueleza kila kitu. Huna jipya tena la kujadili.
Msukumo uliokufanya ujibu ulichojibu mwanzo kwenye mada hii unajulikana sasa, na ndiyo ilikuwa maana yangu ya kukujibu mwanzo kabisa, na mwisho wa siku imebainika sikukosea katika kuelewa kilichokufanya ujiingize kwenye maswala ya siasa, huku ukidai wewe siasa haikuhusu.
Mambo ya ulaghai ni kama tabia mnazofunzwa mngali watoto, maanake ni kama tamaduni kwenu.
Sina muda tena na wewe.
Takataka.Huna jipya wewe,bora upige kimya coz unazidi kuthihirisha ujinga wako hapa,naona umeshakua mtabiri sasa,kwenda huna jipya.