Wanahitaji point za msaada . Hivi TFF ni TASAF ?Manara angeeleza namna Simba ilivyoathirika kwa Fakhi kucheza ile mechi
Duuh! Hizi nguvu na misuli ya kichwa ingetumika Kaitaba, saa hizi Yanga angekuwa na kesi ya kujibu.
Mbona records zinaonyesha kabla ya kucheza Na Simba, Kagera sugar waliocheza mechi nne baada ya ule wa A.Lyon? Na ule wa Simba ni Mchezo wa Tano? Je hili limekaaje, maana Mimi najua mchezaji alipaswa kukosa mechi 3 tu, Na zilishachezwa 4 tayari kabla ya kukutaka Na Simba. Majibu tafadhari
Inaelekea unapenda mkia sana geuka upewe mkiaHivi Hawa mikia wameo nye seeha video ya af lion wakati huyo mchezaji akipewa kadi? Kama jibu ni ndiyo basi Wana kila sababu ya kudai hizo pointi 3. Kama jibu ni hapana kwanza wapigwe faini kwa usumbufu
Vip serengeti boys nao wacheze pool? Bashite mtaisha lini??Mnataka point za mezani kachezeni pool
Alinajisi kanuni za sokaManara angeeleza namna Simba ilivyoathirika kwa Fakhi kucheza ile mechi
Lile bwawa pale jangwani mmefukia au mna mpango wa kufuga samaki paleSimba ni klabu ya hovyo.
Pakeni rangi ukuta
Povu la mkwasa na mkemi wangewekeza nguvu zao kule tusingefungwa 4G wala ndugai asingekuwa na neno mjengoniDuuh! Hizi nguvu na misuli ya kichwa ingetumika Kaitaba, saa hizi Yanga angekuwa na kesi ya kujibu.