Mkuu, nimeitoa imepitwa na wakati. Samahani
Ina maana Ti efu efu hawana website ya kutoa misimamo hii wakuu
Website yao hadi mtu apigwe biti ndio wana-update...
Hii nchi hii...!!!
Jamal Malinzi yupo hapa labda ana majibu...Mkuu wapige biti basi wa update