Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba maoni yenu wadau. Hivi ni sawa kusema mhitimu wa sheria hapaswi kuajiliwa mpaka aende law school? Mimi binafsi si muumini wa hii kitu na sioni sababu za msingi kuthamimisha Llb ya miaka 3au 4 kwa kozi ya miezi 9. Maoni tafadhal
Kuna mahala imeandikwa kuwa mhitimu wa sheria hapaswi kuajiriwa?
unaijua the law school o tanzania act? Hiyo sheria ndo inavosema isome utaona my concern . Na waajiri wanataka wahitimu wa law school