Nenda law school acha uoga au ulipata supp ndo maana unaona law school haina umuhimu? Dhumuni la shule ya sheria Tanzania ni kutoa mafunzo ya sheria kwa vitendo na sio nadharia kama inavyotolewa vyuoni. Ukisoma 'the Law School of Tanzania Act, 2007' utaona inasema mtu asiajiriwe kazi za kisheria kama hajapita shule ya sheria. In practice kati ya 2009 hadi sasa waajiriwa wa mahakamani ie mahakimu na wasaidizi wa mahakama sio lazima wawe wamepita law school. Ila kazi nyingine za kisheria bado wanahitaji upitie law school of Tanzania. Pia ili uwe wakili ni lazima upite na kufaulu law school, hii ni kwa wale waliomaliza baada ya 2007. Kama unaona sheria kuna complications hukatazwi kufanya kazi nyingine kama kuwa bank teller, kufanya kazi madukani nk,