Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Sio kosa kuwa na nia ya kuwa Rais wa TanzaniaHivi uliposema "mimi nikiwa rais wa Tanzania" hujui jinsi kuna kikundi cha watu waliojizima data cha kijani kinavyotamani kikutafune. Machawa hawataki mtu mwingine awe rais ni yule yule milele.
Tangaza nia ya kugombea basi uone chawa watakavyo ruka na wewe.Sio kosa kuwa na nia ya kuwa Rais wa Tanzania
Anataka kuchukua nafasi ya mama Samia eeeeh!Hivi uliposema "mimi nikiwa rais wa Tanzania" hujui jinsi kuna kikundi cha watu waliojizima data cha kijani kinavyotamani kikutafune. Machawa hawataki mtu mwingine awe rais ni yule yule milele.
Usawa wa kwemye syllabus na curriculum na sio kwenye mambo mengineHapo kwenye usawa kwa wote utaharibu
Anataka kuchukua nafasi ya mama Samia eeeeh!
Ntangaze mara ngapiTangaza nia ya kugombea basi uone chawa watakavyo ruka na wewe.
Mfano siumeona secondary usawa kama ule unatakiwa uwwpo na shule za msingi pia sababu kule ndo kuna-umuhimu mkubwa sanaHapo kwenye usawa kwa wote utaharibu
Mfano siumeona secondary usawa kama ule unatakiwa uwwpo na shule za msingi sababu kule ndo kuna-umuhimu mkubwa sanaHapo kwenye usawa kwa wote utaharibu
Tatizo kubwa la mwafrika ni ubinafsiWatoto wao wapo feza hawajali