Msimamo wangu kwenye mahusiano 2017-2050

Developer IOS

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Posts
1,456
Reaction score
1,410
Mdada ukiniona nina kibamia basi wewe una bwawa
mdada ukiniona kitandani mchovu kimoja nimelala basi either hunivutii au hujui mapenzi
mdada ukiniona bahili basi unapiga sana virungu visivyo na umuhimu
ukiona nimekuchezea nimekuacha basi haudeserve kuwa mke jithimin
ukiniona nimekutongoza umenikataa basi una nyota ya umasikini yani umepishana na gari mshahara

note:kama huna tako dada angu punguza kupiga virungu maana nakuvumilia tena sana
 
"Jithimin" ndiyo aina gani ya ya madawa ya kulevya..
 
Olitemba,,

Aiseee lina alimpendelea saana Temba kweliii,,, basi nami nmpendelee Stiko
 
Viwanda vimechelewa kuanza kazi.
Ngoja nichukue Noah Yangu nianze kupiga kazi.
 
Endeleeni kutafuta wachumba humu j.f hao ndio waume zenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…