Msimamo!

Msimamo!

Lady G

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
515
Reaction score
131
habari zenu great thinkers! Naomba kuelimishwa juu ya m2 kuwa na msimamo. Mara nyng ktk mahusiano ya kimalovedav utasikia mwanaume/mwanamke anamwambia mwenzie huna msimamo hii inakaaje! Nini maana ya kuwa na msimamo? Nawasilisha.
 
nashkuru nina "msimamo" wa kutosha kabisa kwa maana ya msimamo ninayoijua mimi.

tusemeni amen.
 
Leo hili kesho lile keshokutwa hivi juzi kati vile. Upoupo ili mradi tu.
 
Mi nikipiga bao ndio switi hati ananiambia nimempotezea msimamo wake
habari zenu great thinkers! Naomba kuelimishwa juu ya m2 kuwa na msimamo. Mara nyng ktk mahusiano ya kimalovedav utasikia mwanaume/mwanamke anamwambia mwenzie huna msimamo hii inakaaje! Nini maana ya kuwa na msimamo? Nawasilisha.
 
duh! mawazo yako yameenda kuleeeeee....ila nimekuelewa. Amen!
dictionary yangu inaniambiaga kuna msimamo mmoja tu kwa vidume, sijui jinsia ya upinzani wanalitafsiri vipi hili neno msimamo?.
 
ahhaaaaa aaahhaaa we kiboko lazima na wao wana msimamo watueleze tu hapa wao huwa wanasimama vipi
 
Krolokwin. Najua una idea pls
usihofu mama, mimi mara nyingi naachia sredi ikimbiee halaf nakuja mwisho kuweka konklushen. vumilia na stay tuned. nitafafanua kwa undani sana kwenye konklushen ya hii sredi.

pole sana kama bwanaako kakosa "msimamo", hili tatizo limeingia sana hapa afrika mashariki.
 
kutokuwa na msimamo ni kuwa , wa kiume halafu unategemea ufadhili wa kike............ tehtehhhh
 
habari zenu great thinkers! Naomba kuelimishwa juu ya m2 kuwa na msimamo. Mara nyng ktk mahusiano ya kimalovedav utasikia mwanaume/mwanamke anamwambia mwenzie huna msimamo hii inakaaje! Nini maana ya kuwa na msimamo? Nawasilisha.
Maana ya msimamo katika mapenzi ni kuwa na uthabiti kifalsafa, kiamwazo na kimatendo. Kwa mfano kama wewe unakubaliana na suala la ngono nje, fanya systematically na kwa uwazi. siyo leo umengonoka nje kesho unaomba kusamehewa huo ni upumbavu. Unatakiwa ungonoke kwa kwenda mbele halafu umjulishe mwenzi wako kuwa huwezi kuacha ngono nje ya mahusiano halafu afanye choice kama anaendelea na wewe au la. simple. usiri wa nini. be yourself live your principles and make them clear to ur partner.
Huu ni upande mmoja wa shilingi
 
Kutokuwa na msimamo ni kukataa huku unataka and vice versa.
 
habari zenu great thinkers! Naomba kuelimishwa juu ya m2 kuwa na msimamo. Mara nyng ktk mahusiano ya kimalovedav utasikia mwanaume/mwanamke anamwambia mwenzie huna msimamo hii inakaaje! Nini maana ya kuwa na msimamo? Nawasilisha.

msimamo gani ebu fafanua
 
Back
Top Bottom