Msimamo!

habari zenu great thinkers! Naomba kuelimishwa juu ya m2 kuwa na msimamo. Mara nyng ktk mahusiano ya kimalovedav utasikia mwanaume/mwanamke anamwambia mwenzie huna msimamo hii inakaaje! Nini maana ya kuwa na msimamo? Nawasilisha.
Ni kanuni binafsi ambazo ulizojiwekea, unazingatia na haziwezi kuthamanishwa na chochote kile!! hata kama itakugharimu mahusiano yako!
 
MSIMAMIO=MSMAMO!!!
Nimem Miss sana tcha wangu wa KISWAZ!!:A S-omg:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…