SI KWELI Msimbo (Code) wa rangi kwenye kasha la dawa za Meno huonesha aina za kemikali zilizotumika kutengeneza dawa hiyo

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Kama serikali kwa nini isikataze tu tukatumia ya kijani pekeyake? ushasema kemikali tupu! hawaoni ni hatari?
 
Hiyo ni print mark
Kwenye packing machine kuna sensor IPO kama camera huwa Ina sense wapi ndio mwisho wa mfuko au kifungashio
Kama una kitu chochote kilichopakiwa na mashine either sukari chumvi lazima kiwe na print mark
Bila hivyo huwezi kufungasha Kwa kutumia mashine
 
Somo zuri, Mimi situmiagi dawa hizi badala yake natumia karafuu, chumvi ya mawe au mkaa just chemical free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…