msimfananishe raymond na vitu vya ajabu huyu dogo anajua

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
kwa alieangalia show ya raymond fiesta muleba nazani ameujua jinsi uwezo alionesha show nzuri kabisa ya live ameimba kuna watu wanamfananisha na harmoniz lakini wacha niseme hamo ana sauti za kulekodia kuimba live bado baada ya ray kuimba alifata baraka kuimba live aliboa sana akafata bela akaua
 
Ni wakati wa WCB kushindanishwa wenyewe kwa wenyewe,maana hakuna namna.CHEZEA CHAMA KUBWA WEWE,SAFI SANA MOND SAFI SANA VIJANA WA WCB NA TIMU NZIMA KWA UJUMLA KWA KUTULETEA KIBOKO YAO.NANI ALIMUONA RAYMOND AKIWA TIPTOP ....... NA NANI ALIYEMUONA HARMONIZE KWENYE BONGO STAR SEACH ...... LAKINI NDANI YA WBC MNAONEKANA NA MNASHINDANISHWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…