Msimlaumu Hayati Magufuli bali ilaumuni CCM

Kuua na kufunga wanaomkosoa (mfano Ben Saanane), Azory Gwanda, Kanguye!
Kuagiza Tundu Lissu ashambuliwe, (tena kupitia televisheni, japo kwa maneno ya mafumbo), Kudhalilisha na kutukana watumishi wa umma na kujiona yeye ndo Mungu, Kutuletea kikokotoo kinachodhulumu haki na jasho la mtumishi kwa kupora pesa zake bila huruma, Kufuja pesa za umma kwa kugawa hovyo kila alikokwenda, kufanya manunuzi makubwa bila kufuata sheria (ili kuficha wizi wake), Kulinda makundi ya kihalifu kama ya Makonda na Sabaya, Kuvunja katiba kwa kuimarisha wizi wa kura wa hadharani kwa kujitangaza nakuamrisha wakurugenzi wasitangaze watu tofauti na wa kwake hata kama wamechaguliwa na wananchi!

Kukanyaga katiba aliyoapa kuilinda, na kutoa kauli za hovyo hovyo hadharani...niendelee???
 
Na huyu mama asivyo tambua kuwa CCM ndiyo iliyonufaika na mborongo ya marehemu boss wake,yeye anaona Raha ripoti za CAG, vitimbi vya PCCB,Tambo za makusanyo ya TRA yote kumlaumu yule mborongaji hawa CCM wanachofanya Sasa hivi wanatengeneza mazingira kuja na LIJIWE JINGINE
 
Na watu wanajigeuza mazuzu kwa kusema " huyu na yule hawafanani". chama chao ni tofauti!!??
 
Alitaka kufanya mapinduzi na kung'ang'ania madarakani akakatiliwa na Bunge la wawakilishi linaloongozwa na Democrats, bunge la seneti linaloongozwa na Republicans, Mahakama kuu, makamu wake wa Rais, FBI, usalama na jeshi la nchi. Hivyo ndio nchi inatakiwa kuwa, sio mtu mmoja anawapanda watu wote kichwani na wananywea kama kuku wenye mdondo.
Kwa kweli wamarekani wangekuwa hawana mifumo ya kudhibitiana, Trump angewapelekesha sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…