Msimu huu Tanzania haitakuwa na timu yoyote ligi ya mabingwa na shirikisho

Acha bangi Simba hawez tolewa na wale wa botswana
Natabiri baada ya utopolo kufyekwa ndugu zao wa matopeni nao mbioni kuondoshwa sioni wakifika mbali wakijitahidi sana wataishia raundi ya 2
 
Eti wamesajili kikosi cha kuchukua ubingwa wa Afrika!! Kuna watu wana utani sana.
 
Huna haja ya kujifariji kizembe namna hii!
 
Mwenye anahitaji vumbi la congo aonane na wana msimbazi tafadhali.
 
Ushabiki pembeni:
Simba anaingia makundi, afe kipa afe beki. Jamaa wanajua kupigania nembo ya timu wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…