Msimu huu tutaishuhudia Simba bora kabisa

Msimu huu tutaishuhudia Simba bora kabisa

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Bandiko hili ni maalum kwa mashabiki wa soka na sio mashabiki fashion na mihemko walioletwa na kina Haji manara, aziz k na hamisa huko instagram, Betpawa and the like.

kwa hizi mechi mbili nilizoishuhudia Simba ikicheza ni dhahiri kuwa kuna mabadiriko makubwa ya kiuchezaji na viwango vya wachezaji wengi vipo juu, siwezi kuihukumu timu kwa kuangalia kichapo ilichokipata kwenye mechi ya derby kwa sababu ni kawaida kwa derby nyingi kutokuamuliwa na ubora wa timu, refer vichapo tulivyokua tukivipata kutoka kwa yanga wakati tukiwa wa moto misimu kadhaa nyuma.
Simba kwa sasa ina wachezaji ambao wanaweza kumiliki mpira, kuretain possesion kwa haraka na kuucommand mpira ufanye kile wanachokitaka tofauti na misimu iliyopita, muangalie debora fernandez, augustine okajepha, edwin barua, mousa camara, kelvin kijiri, na wachezaji wengine,
kudhirisha hili kamuulize miquel gamond.

Kuna madhaifu machache ya kiungo mshambuliaji ambayo yanapelekea mipira mingi kuishia kwenye robo tatu ya mpinzani, naamini kocha ameshayaona na atayafanyia kazi.
Wanasimba tuiunge mkono timu yetu kwani msimu huu tunanyanyua ndoo ya NBC na kwenye CAFCC tutafika hatua ya juu zaidi ikiwemo kubeba kombe,

Simba Nguvu Moja (SNM)
 
MCHUKUUE KIBU, MUTALE, DEBORA, NA AWESU AWESU WAWEKE KWENYE BRENDA SAGA KWA DAKIKA MOJA KISHA TIA SHABALALA NA KAPOMBE KIDOGO SAGA TENA KISHA TIA SHABALALA NA KAPOMBE SAGA TENA KISHA TIA MZAMIRU NA MUKWALA KWA MBALI SAGA KIDOGO TENA HALFU WEKA BALUA VIJIKO VIWILI NA FONDO MALONE KIJIKO KIMOJA HALFU KOROGA VIZURI NDIO UNAMPATA PROFESA WA MPIRA PACOME ZOUA ZOUA😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻
 
Bora tshabalala kuna muda pacome alihama upande kumkwepa tshaba
Huyo Tshabalala alifanikiwa kuwin mipira mingapi dhidi ya Pacome? Pacome kuhama upande sio kwasababu ya kumkimbia mtu.
 
Hii Simba jana imecheza mpira wa kieneyeji usio na mpangilio! Timu haiwezi kupanga shambulizi lolote likaonekana!
Tusidanganyane kazi kubwa sana bado ipo mbele, na kwa maingizo haya nusu watakula pangam Januari!
 
Back
Top Bottom