Msimu huu wamekosa kila kitu, ni robo tu..

Msimu huu wamekosa kila kitu, ni robo tu..

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
15,954
Reaction score
35,415
Kama utani vile, ndugu zetu hawana chao huu msimu.

Bundi kasimama juu ya bati lao, hamna waliloambulia msimu huu.
Tusiwasimange tuwape pole, na wao wasibeze mafanikio ya waliowashinda bali wajifunze na sio vibaya wakituuliza tumewezaje. Hatuna hiyana mbinu zetu tutawapeni, msijitie kibri kutouliza msimu ujao mkaangukia pua tena.

Yangu ni hayo tu.

Mwisho, kula chuma hicho
 

Attachments

  • Screenshot_20230517_184052_Gallery.jpg
    Screenshot_20230517_184052_Gallery.jpg
    88.1 KB · Views: 1
Nadhani mafanikio ya Yanga yataweka wazi utapeli wa Dewji. Yanga wamefika hapa kwa kufanya maamuzi magumu ya kupiga panga kikosi kizima. Simba Bado wanawaabudu kina Nyoni na Boko.
 
Back
Top Bottom