Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kuna michuano ya CHAN mwezi wa Nane so lazima ligi ichelewe kuanzaMbona imechelewa hivyo
Kosa liko wapi hapo mkuu ikiwa hiyo ni taarifa ya lini Ligi itaanza. Ratiba itafuata baadaeRatiba Iko wapi?
Utu uko wapi?
Unatukosea mkuu.
Chan inachukua muda ganiKuna michuano ya CHAN mwezi wa Nane so lazima Kigi ichelewe kuanza
Basi SAWAKosa liko wapi hapo mkuu ikiwa hiyo ni taarifa ya lini Ligi itaanza. Ratiba itafuata baadae
Ni kwamba huyo Karia atakaza fuvu lake na hivyo kuipuuza sera ya michezo iliyoweka utaratibu wa mihula miwili pekee kwa viongozi wa michezo kuhudumu kwenye nafasi zao?Kila nikikumbuka kuwa Karia ataendelea kuwa boss mkuu wa TFF kwa miaka mingine minne, nakosa hata shauku ya kufuatilia mpira wa kibongo naona ni kuikosea heshima akili na ufahamu wangu kuhusu mpira.
Simba na ya ga nao wacheze saa 8 mchana.Bodi ihakikishe marefa walio onesha mapungufu msimu uliopita basi wanaondolewa pia ihakikishe ratiba inayobalance kwa timu zote, pia ihakikishe inatunga sheria kwa waamuzi watakaoonekana kutenda makosa wakati wa kutafsiri sheria 17 ikiwezekana washushwe daraja.
Kabla ya ligi kuanza basi tunaomba Serikali isimamie sheria za TFF ili karia asigombee tena kugombea na kushnda kwa karia kutatupa taswira mbaya kama nchi kwamba mtu yeyote tu anaweza kujiongezea muda wa kuhudumu ktk shirikisho ingawa muda wake ushaisha.
BODI ihakikishe inasimamia kanuni zote kwa usahihi bila kupendelea vilabu viwili vya simba au yanga kufanya hivyo kutaipa hadhi dabi yetu ya kariakoo na ligi kwa ujumla.
kwenda kinyume na haya kunauwezekano wa nchi yetu kufungiwa kushiriki mashndano ya kimataifa
Ahsant kwa kukaziaSimba na ya ga nao wacheze saa 8 mchana.
Mambo yaigi kusimama wiki5 hatutaki kuyao a tena.
Tatu malogo asichezeshe mechi tena nbc ligi kuu
Kwa mazingira jinsi yalivyosetiwa sasa hivi wewe unaona hilo la yeye kuiongoza tff kwa muhula mwingine wa haramu linashindikana?Ni kwamba huyo Karia atakaza fuvu lake na hivyo kuipuuza sera ya michezo iliyoweka utaratibu wa mihula miwili pekee kwa viongozi wa michezo kuhudumu kwenye nafasi zao?
Ni kwamba Mwana FA atamkingia kifua ili auvuruge utaratibu wa miaka yote, na ambao upo chini ya BMT; kwa sababu tu ya uswahiba na usimba wao? Ikitokea hivyo basi itakuwa ni dharau kubwa sana kuwahi kutokea kwenye mpira wetu.
Binafsi namshauri Wallace Kariabaachane na uroho wake wa madaraka. Pia afahamu TFF ni shirikisho la mpira wa miguu nchini! Na siyo NGO yake ya kupiga hela.