Librarian 105
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 261
- 356
Ligi ya mbunge!
Uzinduzi unaendelea....
Yaani badala ya kutunga sera ktk halmashauri na wabunge waishauri serikali na washirikiane kuwekeza katika michezo ili kuzalisha ajira mbadala nchini. Wanazindua ligi za kusakia "kura"?!
Hii ndo bongo, kila kitu mchongo, kwa mipango, dili bila msongo,
tutafika kweli kwa mchongo?!