Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
Poa mkuu umeshinda, jipigie makofi basi[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeiona jezzi mkuu ni zaidi ya maridadi sana
Tulia wewe mzigo upo tayari kwasasa linasubiriwa duka likamilike mzigo uingie sokoni wananchi tunaenda kununua dukani kwetu kabisa na tunapata jezi originalHujui jinsi gani klabu itapoteza hela sokoni, acha mambo ya magauni wewe
Mpaka hapa ninavyoandika, jezi ya Yanga haijulikani na wanafungua msimu kwa kucheza na Prisons baadae usiku kwa Mkapa. Je, mashabiki wenzangu wa Yanga mnalichukuliaje suala hili?
Leo Yanga wanazindua duka lao pamoja na jezi zao za msimu wa 2020/2021Pengine wanataka kuzindua jezi pamoja na duka lao kwa pamoja.
Ahaa Yanga wanavituko,kumbe jezi zilikuwa zinasubiri duka likamilike!!.jezi zinasubiri duka.
Embu weka picha tuzione zilivyo mbaya.Msimu uliyopita Yanga walikuwa na Jezi kali sana, lakini msimu huu wamefeli. Jezi hazivutii
Sijasema mbaya, kila mtu ana mtazamo wake ila binafsi mimi hazijanivutia.Embu weka picha tuzione zilivyo mbaya.
Uzi mkaliSijasema mbaya, kila mtu ana mtazamo wake ila binafsi mimi hazijanivutia. View attachment 1566083View attachment 1566084
Ni mbaya sana.Sijasema mbaya, kila mtu ana mtazamo wake ila binafsi mimi hazijanivutia. View attachment 1566083View attachment 1566084
Mpaka hapa ninavyoandika, jezi ya Yanga haijulikani na wanafungua msimu kwa kucheza na Prisons baadae usiku kwa Mkapa. Je, mashabiki wenzangu wa Yanga mnalichukuliaje suala hili?
Utopolo msiwasakame Makolo maana hata nyinyi mlipitia hukuMpaka hapa ninavyoandika, jezi ya Yanga haijulikani na wanafungua msimu kwa kucheza na Prisons baadae usiku kwa Mkapa. Je, mashabiki wenzangu wa Yanga mnalichukuliaje suala hili?
wembe hukata kotekote Leo huko kwenu had leo hakielewekiPale tulipowaambia kuwa GSM hawatoi Jezi Mpya mpaka za zamani ziishe lakini Utopolo wakabisha je?
Sasa ya GSM yafumbieni macho endeleeni kukomaa na 20B za MO
Naona matatizo yanaendeleaMatatizo yalianza hapa