Mchezaji mzuri anapaswa kung'aa kwenye timu yoyote na nchi yoyote.
Messi kushindwa kung'aa akiwa na timu ya PSG nchini ufaransa kumethibitisha kuwa Messi yuko over-rated!!
Ameishia na keshaanza kuwaza kukimbilia Marekani au uarabuni. Mwenzake CR7 hadi sasa ana magoli 18 na ndiye shujaa wa kufumania nyavu kwenye timu yake ya Man U.