Msimu ujao tutegemee Maumivu mashabiki wa Arsenal

Majighu2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
2,937
Reaction score
3,959
Mm ni shabiki wa Arsenal lakini naona season ijayo itakua na machungu kama ya sesion zilizopita na sababu kubwa ni ubahili wa Wenger. Kwa kikosi kilichopo sina uhakika kama kuna uwezekano wa kuchukua kombe lolote. Kikosi kinahitaji beki,kiungo na foward nzuri za uhakika. Wenger naona ananunua vitoto vya 18 yrs ambavyo havitatusaidia kitu chochote sesion ijayo.Msimu ujao utakua na upinzani mkubwa sana Manchester utd/city,Liverpool,Chelsea,Totenham,Leicester zinazidi kujiimarisha. Wenger saivi anacheza na vitimu vya ajabu anashida bao 8 anafuraaahi. Msimu ujao tutegemee maumivu hilo halina ubishi.
 
Hata kama ni maumivu nafasi 4 za juu ni given ila inachosha Sana tangu 2004 mpaka Leo hakuna dalili.
 
Hata kama ni maumivu nafasi 4 za juu ni given ila inachosha Sana tangu 2004 mpaka Leo hakuna dalili.
Top four anaweza akakomaa ila kombe sasa hatupati kitu.
 
Tutakua tunalala na panadol mixer diclopar mzee kila siku anapply theory zake za uchumi ktk club yetu.
 
Kwani mara ya mwisho kuyaepuka maumivu Arsenal ilikuwa lini? Mpaka leo hamjazoea tu?
 

Takuma Mali ya ArsayNO
Usajili bora wa Prof Wengewenge
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona man city tumemnyoosha ubingwa uko pale pale wakuu kama sio wa ligi basi FA lazima vijana wazima sana si mnaona pre season tulichowafanya Guadalajara Vikings na sasa Man city gunners ni mwisho kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…