Msimu uliopota pekee mechi za ligi kuu za Yanga zimeniingizia milioni 8 kupitia betting

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kuna watu wanashangaa vijana kushabikia mpira kuliko siasa.

Hii ni ajira isiyo rasmi, kwako kijana usiye na kazi,kila mechi ya ligi weka mzigo hata laki tano hukosi laki faida

Hii ni kwa mechi za yanga tu na uweke mechi moja tu,maana ushindi ni asilimia 90.

Kama wanahonga waamuzi au wapinzani sisi hatujali.

Mimi ni mnyama damu ila Yanga imeniingizia milioni 8 msimu uliopita
 
Hili suala ni kweli. Wote tunajua katika ligi hasa nyumbani Yanga kufungwa au kupata droo ni ngumu sana kutokea. Ishu ni kwamba kuna siku isiyo na jina mkeka unaweza kuchanika ukajuta kuzaliwa ndiyo usng wa betting ulipo hapo.
 
Kaa kimachale
 
Kuna watu wanashangaa vijana kushabikia mpira kuliko siasa.

Hii ni ajira isiyo rasmi,kwako kijana usiye na kazi,kila mechi ya ligi weka mzigo hata laki tano hukosi laki faida

Hii ni kwa mechi za yanga tu,na uweke mechi moja tu,maana ushindi ni adimia 90.

Kama wanahonga waamuzi au wapinzani sisi hatujali.

Mimi ni mbyama damu ila Yanga imeniingizia milioni 8 msimu uliopita
Mikeka iko wapi tukuamini uyasemayo
 
Kwa ma expert wa bet sisi hatuzingatii ushauri huu maana ina hatar kuliko kwa maana yanga odds zake huwa ni 1.3 kushuka chini sasa unaweka dau 200k unapata labda 240k sasa ikatokea siku imechana mmmh. Utaongea lugha zte
 
Ndiyo hapo sasa. Siku ikichana, inakula pesa yote uliyowahi kushinda maisha yako yote kwenye beti na deni linabaki.

Mimi nipo karibu sana kujitoa ufahamu kwa Yanga hii isiyofungika. Anachosema mtoa mada nimekiwaza toka msimu umeanza bado tu sijafanyia kazi hili suala ila nikianza najua kuna siku nitakuja kulia na kusaga meno.
 
Namba zinakataa. Kwa dau la laki tano tano mechi za yanga tu kingiza M8.
 
Ndiyo hapo sasa. Siku ikichana, inakula pesa yote uliyowahi kushinda maisha yako yote kwenye beti na deni linabaki.

Mimi nipo karibu sana kujitoa ufahamu kwa Yanga hii isiyofungika. Anachosema mtoa mada nimekiwaza toka msimu umeanza bado tu sijafanyia kazi hili suala ila nikianza najua kuna siku nitakuja kulia na kusaga meno.
Mkuu beti ni kazi saana mm nina miaka 10 nabeti lakin nabet kwa nidhamu ya juu saana
 
Baaasi, kwa Ushauri huu Vijana Wengi utakuwa umekonga nyoyo Zao, kingine mserereko ni Mishangazi..!

Vijana Wa Sasa Wanapenda sana Mishangazi na 'Kubet'.. Lkn kufanya Kazi aaah...!
Kubet ni kaziina hela na akili kuliko kulima,kumkojoza mshangazi ni kazi kuliko kubeba zege,kwa nini nijitese
 
Hili suala ni kweli. Wote tunajua katika ligi hasa nyumbani Yanga kufungwa au kupata droo ni ngumu sana kutokea. Ishu ni kwamba kuna siku isiyo na jina mkeka unaweza kuchanika ukajuta kuzaliwa ndiyo usng wa betting ulipo hapo.
Kama Madrid mpaka sasa hivi kang'ang'aniwa na PSG naye hivyo hivyo betting ni haramu
 
Kwa ma expert wa bet sisi hatuzingatii ushauri huu maana ina hatar kuliko kwa maana yanga odds zake huwa ni 1.3 kushuka chini sasa unaweka dau 200k unapata labda 240k sasa ikatokea siku imechana mmmh. Utaongea lugha zte
40 ni nyingi sana ,ukiweka jwa nechi 15 za home,pkus za home and away za dodoma jiji na timu rafiki hukosi 1M kwa ntaji wa 200K
 
Back
Top Bottom