Kaa kimachaleHili suala ni kweli. Wote tunajua katika ligi hasa nyumbani Yanga kufungwa au kupata droo ni ngumu sana kutokea. Ishu ni kwamba kuna siku isiyo na jina mkeka unaweza kuchanika ukajuta kuzaliwa ndiyo usng wa betting ulipo hapo.
Mikeka iko wapi tukuamini uyasemayoKuna watu wanashangaa vijana kushabikia mpira kuliko siasa.
Hii ni ajira isiyo rasmi,kwako kijana usiye na kazi,kila mechi ya ligi weka mzigo hata laki tano hukosi laki faida
Hii ni kwa mechi za yanga tu,na uweke mechi moja tu,maana ushindi ni adimia 90.
Kama wanahonga waamuzi au wapinzani sisi hatujali.
Mimi ni mbyama damu ila Yanga imeniingizia milioni 8 msimu uliopita
Ndiyo hapo sasa. Siku ikichana, inakula pesa yote uliyowahi kushinda maisha yako yote kwenye beti na deni linabaki.Kwa ma expert wa bet sisi hatuzingatii ushauri huu maana ina hatar kuliko kwa maana yanga odds zake huwa ni 1.3 kushuka chini sasa unaweka dau 200k unapata labda 240k sasa ikatokea siku imechana mmmh. Utaongea lugha zte
Namba zinakataa. Kwa dau la laki tano tano mechi za yanga tu kingiza M8.Kuna watu wanashangaa vijana kushabikia mpira kuliko siasa.
Hii ni ajira isiyo rasmi,kwako kijana usiye na kazi,kila mechi ya ligi weka mzigo hata laki tano hukosi laki faida
Hii ni kwa mechi za yanga tu,na uweke mechi moja tu,maana ushindi ni adimia 90.
Kama wanahonga waamuzi au wapinzani sisi hatujali.
Mimi ni mbyama damu ila Yanga imeniingizia milioni 8 msimu uliopita
Mkuu beti ni kazi saana mm nina miaka 10 nabeti lakin nabet kwa nidhamu ya juu saanaNdiyo hapo sasa. Siku ikichana, inakula pesa yote uliyowahi kushinda maisha yako yote kwenye beti na deni linabaki.
Mimi nipo karibu sana kujitoa ufahamu kwa Yanga hii isiyofungika. Anachosema mtoa mada nimekiwaza toka msimu umeanza bado tu sijafanyia kazi hili suala ila nikianza najua kuna siku nitakuja kulia na kusaga meno.
Kubet ni kaziina hela na akili kuliko kulima,kumkojoza mshangazi ni kazi kuliko kubeba zege,kwa nini nijiteseBaaasi, kwa Ushauri huu Vijana Wengi utakuwa umekonga nyoyo Zao, kingine mserereko ni Mishangazi..!
Vijana Wa Sasa Wanapenda sana Mishangazi na 'Kubet'.. Lkn kufanya Kazi aaah...!
Kama Madrid mpaka sasa hivi kang'ang'aniwa na PSG naye hivyo hivyo betting ni haramuHili suala ni kweli. Wote tunajua katika ligi hasa nyumbani Yanga kufungwa au kupata droo ni ngumu sana kutokea. Ishu ni kwamba kuna siku isiyo na jina mkeka unaweza kuchanika ukajuta kuzaliwa ndiyo usng wa betting ulipo hapo.
40 ni nyingi sana ,ukiweka jwa nechi 15 za home,pkus za home and away za dodoma jiji na timu rafiki hukosi 1M kwa ntaji wa 200KKwa ma expert wa bet sisi hatuzingatii ushauri huu maana ina hatar kuliko kwa maana yanga odds zake huwa ni 1.3 kushuka chini sasa unaweka dau 200k unapata labda 240k sasa ikatokea siku imechana mmmh. Utaongea lugha zte
Mpira haujaisha unapiga kelele betting haikufaiKama Madrid mpaka sasa hivi kang'ang'aniwa na PSG naye hivyo hivyo betting ni haramu