Msimu wa biashara

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
5,934
Reaction score
10,206
Habarini wadau,
Mimi kama mjasiriamali wa muda mrefu nimekuwa nikisikia wafanyabiashara baadhi yao wakisema "msimu huu biashara mbaya sana"
sasa najua kila mfanyabiashara ana msimu anaoamini biashara itakuwa nzuri kulingana na anachouza.

Tuanze na mimi msimu ambao biashara yangu huanza kupendeza ni:-
1. Msimu wa kipindupindu =watu wengi hufa hivyo biashara yangu ya majeneza na vifaa vyote vya mazishi inakubari sana.

2.Ajali mbaya- hasa ya magari ya abiria = watu tunauza majeneneza mpaka basi.

3.Wakati wa mvua watu hufa sana.

Je, wewe kipindi gani biashara huwa vizuri?
 
Man u akiwa anacheza...na uhakika lazima aruhusu goli...

Hakika uwa lazima nimlize MUHINDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…