Msimu wa maembe umefika, soko nalipataje?

Msimu wa maembe umefika, soko nalipataje?

Miaka ya 90 mpaka 2000 shinyanga kulikuwa na soko la maembe liliitwa kambarage. Pale ilijaaa milima ya maembe na watu walijazana kununua.

Sasa nakushauri tafuta eneo la mjini uende ukamwage uuze reja reja na jumla jumla na mengine kodi toroli zungusha mtaani.

Hapo hapo shinyanga watu walioleta ndizi kutoka Bukoba walijaza kwenye toroli na kuzunguka mtaa kwa mtaa. Hii mbinu nadhani inaweza kussifua kuuza mzigo. Kumbuka yakiivia mtini imekula kwako.
 
Kwa wakulima wenzangu msimu wa maembe umewadia changamoto kwa sasa ni soko linapatikanaje.

Kwa yoyote mwenye kujua soko la uhakika tafadhari naomba tujulishane au kama unahitaji embe kwa bei ya jumla utazifata shambani Kibaha.

Nitafute kwa wasap 0746590147 tufanye biashara
Wakati unalima uliambiwa lima uwe tajiri
 
Back
Top Bottom