Msimu wa maembe umefika, soko nalipataje?

Miaka ya 90 mpaka 2000 shinyanga kulikuwa na soko la maembe liliitwa kambarage. Pale ilijaaa milima ya maembe na watu walijazana kununua.

Sasa nakushauri tafuta eneo la mjini uende ukamwage uuze reja reja na jumla jumla na mengine kodi toroli zungusha mtaani.

Hapo hapo shinyanga watu walioleta ndizi kutoka Bukoba walijaza kwenye toroli na kuzunguka mtaa kwa mtaa. Hii mbinu nadhani inaweza kussifua kuuza mzigo. Kumbuka yakiivia mtini imekula kwako.
 
Wakati unalima uliambiwa lima uwe tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…