Mvua zimeanza β na malalamiko ya paa zinazovuja yamekuwa mengi. Ceiling inavuja, slab zinatoboka, na wengine wanatumia ndoo kukusanya maji π
Lakini sasa, unaweza kuzima tatizo hilo kwa
Shieldcryl 304 na
kitambaa cha reinforcement fabric, suluhisho la kudumu la kuzuia uvujaji.
π‘ Kwa nini Shieldcryl 304?
Ni
coating ya kisasa ya akriliki (Acrylic Waterproofing) inayounda tabaka lenye unyumbufu na uimara wa hali ya juu.
Inazuia maji kupenya, inastahimili jua na mvua, na ni rahisi kutumia.
β
Elastic β haipasuki jua kali au mvua kubwa
β
Inaungana vyema na slab, screed, au bati
β
Rahisi kupaka kwa brush au roller
β
Haina sumu, salama kwa mazingira
Inatumika wapi?
- Paa za slab na bati zinazovuja
- Gutter, balcony, na jointi za ukuta
- Kava za tanki la maji
- Screws na seams kwenye paa
βοΈ Jinsi ya kutumia
1οΈβ£ Safisha uso vizuri.
2οΈβ£ Paka
coat ya kwanza ya Shieldcryl 304.
3οΈβ£ Weka
kitambaa cha fabric juu ya sehemu unayoifanyia kazi.
4οΈβ£ Paka
coat ya pili, funika kitambaa vizuri.
5οΈβ£ Baada ya kukauka, paka
coat ya tatu kwa uimara zaidi.
Matokeo yake β
paa lako linakuwa limefunikwa kwa tabaka imara, lisilopitisha maji hata mvua kubwa! β
π¦ Vifungashio & Bei
- πͺ£ Shieldcryl 304 (ndogo β lita 4)
- πͺ£ Shieldcryl 304 (kubwa β lita 20)
- π§΅ Kitambaa cha fabric (mita 1) β Tsh 5,000/=
Bei ni nafuu ukinunua jumla au kwa miradi mikubwa ya ujenzi.
π Inapatikana wapi?
C-STALLION AFRICA CO. LTD
Wasambazaji wa bidhaa za ujenzi zenye ubora wa kimataifa β admixture, sealants, waterproof systems, epoxy coatings, na rust removers.
π Mawasiliano:
π Plot No 43, Block 313, Mwenge Village, Dar es Salaam
π¬ P.O. Box 32224
π§
info@cstallionafrica.co.tz
π
www.cstallionafrica.co.tz
π² Simu / WhatsApp:
0758 404 554
π Ofisini:
+255 769 491 446 / +255 753 684 589
πΈ Instagram:
@cstallionafrica