Msimu wa ufuta Mei mpaka Agosti kila mwaka

Joined
Jul 14, 2021
Posts
37
Reaction score
48
Je unaujua ufuta au umesikiakuhusu ufuta km unaujua Wacha nikujuze zaidi km ujui Wacha nkujuze, ufuta ni Zao linalolimwa zaidi kusini mwaTanzania mikoa ya ya Lindi na Mtwara zaidi unalimwa mkoa wa Lindi, Sasa huu ni.mwezi wa Tano Wacha nikupe taarfa za fursa ufuta,, Kwa ww Mtanzania mwenzangu na unamtaji na ujui biashara (Hela) gani, basi kwa sasa hii biashara mzur Sana ambayo itakuza mtaji wako Zaidi ya mara 3 ya mtaji wako ndani ya hyo miezi 3 au 4 nifuate inbox nkujuze zaidi namna gan unaweza kufanya hii biashara au bidhaa gani ulete kipindi hiki Cha msimu wa ufuta ambacho wanachi wengi wanakuwa wako vzur kichumi ,,,,,km km upo proud nifuate inbox....,, Asanten sana..
 
nifuate inbox nkujuze zaidi namna gan unaweza kufanya hii
Hapa ndio umekosea, mwaga kila kitu hapa, onesha utaalam wako, wenye mahaitaji na kukuelewa jinsi ulivyo mtaalm katika hilo zao ndio vyema waje inbox ikiwa watahitaji kujifunza/kushirikiana nawe.

Tambua hapa JF kuna watu Wana kiu ya kuwekeza ila taarifa sahihi toka kwa mtu sahihi, ndio tatizo. Sasa wewe ukiwa chanzo cha taarifa/fursa mojawapo weka kila kitu wazi.
 
Sivyo unavyo nifikilia ila pia lazima ufikilie ivyo coz Dunia ya Leo imejaa wizi,,, nilicho andika ni kutangaza fursa Kwa watanzania wezangu.... Naamini hii post ya wafanyabiashara wa mazao watanielewa
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Sivyo unavyo nifikilia ila pia lazima ufikilie ivyo coz Dunia ya Leo imejaa wizi,,, nilicho andika ni kutangaza fursa Kwa watanzania wezangu.... Naamini hii post ya wafanyabiashara wa mazao watanielewa
Unapotoa tangazo weka details zote mezani, atakae taka faragha na wewe atakufuata atakaetaka uwazi atauliza hapa hapa. Wewe shida yako ipo wapi kutoa details zote mzee.
 
Naona kitu kizito kikimuangukia mtu fulani.
 
Utaitwa tapeli maana umekaa kitapeli. Kama lengo ni kusaidia Watanganyika wenzako kwanini usiandike hapa hapa, huko pm tuje kufanya nini sasa?
 
Mikoa ya kusini mnada wa ufuta unaanza lini?
 
hakuna unachojua kuhusu ufuta omba darasa ufundishwe
 
Sivyo unavyo nifikilia ila pia lazima ufikilie ivyo coz Dunia ya Leo imejaa wizi,,, nilicho andika ni kutangaza fursa Kwa watanzania wezangu.... Naamini hii post ya wafanyabiashara wa mazao watanielewa
Ukiona una itwa kwenye fursa basi Ujue wew ndo FURSA yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…