Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
Watu wanataka Samia aje na vision yake katika urais Tanzania
Kimsingi huyu mama hata VP hakuwahi kuuota, na kwa hiyo hakuwahi kuwa na picha ya nini afanye akiwa VP! Kwa hiyo, kwa uaminifu kabisa aliendelea kumsaidia JPM kufikia maono yake juu ya kuwa nchi liyo na uhuru kamili kwa kujikomboa kiuchumi na kuwa donor country!
Unless kama ninyi mnaomtaka huyu mama aje na maono yake mengine mnataka kutueleza huyu mama alikaa mkao wa kutaka kuwa rais na hivyo alishakuwa na mtazamo wake wa nini afanye! Kwa kuwa kwa maoni yangu huyu mama yetu hakuwahi ota kuwa rais wa Tz, aliishi kwa maono yaleyale ya boss wake, ya kuikomboa Tz kiuchumi kwa kuitimiza ilani ya ccm!
Na hata baada ya kuondoka boss wake, ambaye ndie mwalimu wake na kwa kweli ndie aliyemuambikiza maono yake juu ya nchi yetu, na sasa mama kushika hatamu za uongozi, sitegemei kumuona akikengeuka na kutoka nje ya reli...maana hii itamuonyesha kuwa ni msaliti wa mwalimu/boss wake, na kwamba alikuwa akiburuzwa tu bila ya yeye mama kujua chochote(ambapo hapo sasa tutashangaa kwa nini hakujiudhuru), au alikuwa anatafuta jinsi ya kuchukua uongozi kutoka kwa boss wake( hii ni kama alikuwa na motive za uasi, kitu ambacho siwezi kukiamini, maana mama yetu alikuwa kajikalia tu na akiwazia ubunge na kwenda kuwapiga maswali mawaziri uchwara bungeni basi, haya mengine hakuwa nayo, Magu akamuibua na kuwa VP)!
Kwa hiyo ukiniuliza mimi, huyu mama hawezi kuwa na agenda mpya zaidi ya kuyaendeleza mazuri yote ya mtangulizi wake kwa uaminifu kabisa! Mnaotaka aje na maono mapya mnataka kumuingizia agenda zenu na kumtoa kwenye reli ili mama aonekane kuwa hakuwa mdaidizi na mwanafunzi mwaminifu kwa boss na mwalimu wake na hivyo kutaka kumwingiza kwenye 18 za kuonekana alimtakia mabaya bosd wake! Katu hamtaweza.
Hao wote wanataka kuchomekea agenda zao hata kama ni mumewe wajitafakari sana I see kama wana nia njema yoyote juu ya mama yetu! Maana mnataka aonekane kuwa ni adui wa wazalendo na ukombozi wa kiuchumi wa taifa letu! Mungu