SoC02 Msingi wa binadamu katika maisha

SoC02 Msingi wa binadamu katika maisha

Stories of Change - 2022 Competition

Augustino kabwe

New Member
Joined
Sep 9, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Afya ni msingi wa kila binadamu katika maendeleo ya kila siku hvyo bas tunatakiwa kulilinda kwa nguvu zote.

Lakini ni ngumu kuilinda kutokana na mazingira na maisha ya kila siku kwamaa vyakula tunavyokula na kadharika.

VYAKULA vipo vyakula ambazo sio vzuri kula ila kwenye maisha yetu ya kila sku ndo tunakutana nayo na kuacha vyakula vya asili na kupelekea magonjwa yasiyo ambukiza mfano(kisukar).

NINI KIFANYIKE
Serikal inatakiwa itoe elimu kwa watu kutokana na wimbi hili kuongezeka na kupunguza Kofi kwa vifaa tiba kwa ajili ya watu walipata magonjwa haya.

AHSANTE.
 
Upvote 0
Back
Top Bottom