Msingi wa honeymoon ni upi?

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Hakuna mambo yanachekesha kama harusi nyingi za miaka hii🤣 wazazi wenu wanajua hamjawahi "kushenyentana" Wanajua mnaenda honey moon kufunguana kwa mara ya kwanza kumbe movie mlishaicheki hadi mmechoka kuitazama

Lakini nakiri swala la kunyanduana halafu ndio watu wanaoana badala ya kuonana kwanza ili pia linachangia ndo nyingi kuvunjika

Kiasili mwanadamu kaumbwa Kuchoka mtu anaingia kwenye ndoa kashaujua undani mwisho wa siku yanakuja mazoea, mazoea yanazalisha kutaka kujaribu vitu vipya

Sasa unakuta Ile siku ya honeymoon😂mnajuana kabisa hapa ni tackle Tatu "pwaah" kwisha(jokes)

Kimsingi hili nalo litizamwe japo kua wadau wengi wanasema bora kupima oil kujuana tu mapema ukajua madhaifu yake kiundani aidha utamudu visima na mabwawa😂ya kuzalisha umeme wa mgao ni muhimu

Naomba kuwasilisha "wanaosema kuoa mabikra wanahoja wasikilizwe kuna heshima sana kuvunja utepe mwenyewe sio unakabidhiwa nyumba ilishavunjwa utepe na wapangaji🤣Tena wewe mwenye nyumba unaanza kutoa hela matengenezo
 
ni dhana au maigizo tu yaliyozoeleka ya kuhadaa wanakamati, ndugu, jamaa na marafiki kwamba, ndio kwa mara ya kwanza wanandoa mnaenda kunyanduana wakati hadi kunyoana mnanyoana every week 🐒
 
Kuna Kumchoka mtu na kuchelewesha kumchoka lakini ukweli unabaki kwamba kote ni kumchoka tu😄
 
Ukitulia unakua na akili sana

Binafsi siwezi kuoa mwanamke tuliekwisha zoeana sana, naitaji wa two weeks uchumba the other week ndoa ili kupata experience mpya
 
Kwamba hakuna jipya chini ya jua hivi na wale wanaokua wamezalishana huwa nao wanaenda honey moon kufanya nini?? Kama ni kubadili mazingira sawa
ni dhana au maigizo tu yaliyozoeleka ya kuhadaa wanakamati, ndugu, jamaa na marafiki kwamba, ndio kwa mara ya kwanza wanandoa mnaenda kunyanduana wakati hadi kunyoana mnanyoana every week 🐒
 
unaonaje ukizoea kiwanja kimoja halaf uje ubadili uwanja kwa siku saba? hata kama mlishatiana kabla lakini inawafanya mjione wapya hata madkatri husema kama mnatafuta watoto sometimes mjaribu kubadili kiwanja cha mchezo so ina umuhimu kwa wenye kuweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…