Salaam wana Jf.
Nimejifunza kuwa msingi wa mapenzi ni imani. Kwakuwa hayasikiki, hashikiki bali unahisi. Pia vitendo havina uthibitisho wa asilimia mia kuwa ni mapenzi ya kweli. Sasa basi naona kuwa ili muweze kuishi kwa usalama ni lazme muaminiane. Unapaswa kuamini kuwa hawawezi kukutenda, hiyo itakufanya nawe ujiheshimu. Pia unapaswa kuamini manumit unayopata pale unapotendwa, mwenzake anayapata zaidi ya hayo unapomtenda.
Ahsanteni.
Nawakilisha kwenu.